Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

Kama palikuwa na tatizo la bei kwanini Tanesco hawakuwa wazi mapema waweke mambo sawa wateja wao wajue?

Kila kitu mpaka aongee Rais, hii tabia inatuchelewesha sana, hawa mameneja waachwe wafanye kazi zao wanasiasa wasiwaingilie
 
Back
Top Bottom