Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

Mbona apo ni kuanzia tarehe 05 January 2021? Au 2022 vp
 
Hii ndiyo reality, ile 27,000 ilikua ni ya kuombea kura.
Hii imlipangwa mwaka 2021. Kura ulikuwa umeshapiga.

Serikali imeamua kujivua jukumu la kuwahudumia wananchi badala yake sasa wananchi wanajihudumia.
 
Ni kama hisani vile na wakati shirika linafanya biashara kama ilivyo kwa makampuni ya simu; hivyo gharama zilitakiwa ziwe za chini/affordable kama kulikuwa na ulazima wa wateja kugharamia miundo mbinu ambayo shirika linanufaika kimapato.
 
Mwaka mpya na mambo mapya,,
IMG_20220105_151418.jpg
IMG_20220105_151453.jpg
 
Kwa hiyo wewe unatakaje alafu wewe hii nchi ajakabiziwe chizi kama mwanzo sasa nchi hipo mikononi kwa mtu anaejielewa mwenye hofu ya mungu mwenye huruma kwa binadamu wezie hiyo elfu 27 kwa nchi mzima unadhani tanesco ingekuwa na Hali gani kwa miaka mitano mbele lazima kuwepo na madaraja ya bei ya kuunganishiwa umeme vijijini na mijini. Kama mama aliongea hivyo hakina ndugai wenye strees ya 2025 walimshauli vibaya ili alibikiwe wao wapate cha kuongea lakini kwa uwezo wamungu kawashitukia .kwa ufupi kama hupo mijini lipia bei elekezi na kama hupo vijijini lipia bei elekezi
Hivi unajua unachoongea ni kama kuwaambia wananchi kila mtu atengeneze barabara yake..., Mfumo (infrastructure) ni mali ya Tanesco... Mapato endelevu na matumizi ya wateja..., bila kuongeza wigo wa wateja utakosa hizi pesa (kuunganisha wateja ni investment for long term gain) ukizingatia hizo mita na nguzo zitaendelea kuwa mali ya Tanesco daima...

Mwisho kabisa Tanesco haipo pale kuhakikisha inakusanya the maximum amount of money bali kuhakikisha watu wengi iwezekanavyo wanapata Huduma (key word ni Huduma) ya Umeme kwa gharama nafuu....
 
Kuingiza kwa tsh 27000 ilikuwa mtihani kwa baadhi ya watu hiyo 300k plus wataiweza?Ngoja tuone
Mawazo ya mama anaamini Kila mtza anasomesha watoto feza ada milioni 12.
KILA kitu ukiwa unapewa bure ni ngumu Sana kuamini kuna watz wengi tu wanakufa kwa kukosa sh 500 ya panadol.
Na ukiwa kwenye gari la ikulu ukiona watz wanatembea kwa miguu barabarani unajua wanafanya matembezi tu.Kumbe mtu kakosa nauli ya mwenge mbagala.
 
Back
Top Bottom