Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Kwa walio vijijini wasubiri kipindi cha 2025 waweke kwa iyo bei yetu pendwa ya Tshs 27,0002025 itarudi elf 27 kwa ajili ya kuombea kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa walio vijijini wasubiri kipindi cha 2025 waweke kwa iyo bei yetu pendwa ya Tshs 27,0002025 itarudi elf 27 kwa ajili ya kuombea kura
Jiandae mkuuvile vjj elfu mbili vilivyokuwa bado kupata umeme si ndo Basi Tena,kwa gharama hizi nani huko kjjn ataweza!!?. wale tuliokuwa tunawazodoa wameunganishiwa umeme vijumba vya nyasi chumba kimoja kumbe waliula .najuta bola na mm ningejengaga tu hata Banda la nyasi kwenye eneo langu saiv ningekuwa na umeme wa 27 elf kilaini. Sasa hizi gharama kutokanq na umbali si imekula kwangu!!
MAMA SAMIA NAYE KWA KUDANGANYA WANANCHI HODARI SANA HONGERA ZAKE.
Uzi ukifungwa bila kuwataja cdm nitajua mwenye simu katekwa.Jamaa wapo fasta huenda template ilikuwepo kabisa, wameprint tu lakini mbona hawajafafanua kuhusu vijijini?
Alafu anasingizia katikati kuriharibiwa wakati maagizo ni ya kwake.
Huwa nashangaa sana wanaosifia Makamba ni akili kubwa.
Ni kweli nimemuoa dada yake na anaishi kwangu, sasa namzimia Wi-Fi ili hata hiku jf asiingie, abaki seblen akiangalia katuni na wajomba zakeHana watoto huyo anakaa kwa shemeji alikoolewa dadake
Jamaa wapo fasta huenda template ilikuwepo kabisa, wameprint tu lakini mbona hawajafafanua kuhusu vijijini?
Alafu anasingizia katikati kuriharibiwa wakati maagizo ni ya kwake.
Huwa nashangaa sana wanaosifia Makamba ni akili kubwa.
View attachment 2069592
Nchi umeshnda apishe kashndwa kudhbit KILA ktu,mfumuko wa bei kodi lukuki HANGAYA MUST GO
Nguzo na vifaa vyote unavyolipia ni mali ya tanesco!Mapato yanatumika ku run shirika katika issues mfano za maintenances, generation, transmission na distribution. Pia kuna gharama za uendeshaji za kawaida zinajulikana haina haja ya kuzitaja.
Pamoja na hilo lakini ujue kuwa Tanesco wao hawauzi nguzo wala vitaa vya umeme. Tanesco ni utility company (shirika linalotoa huduma).
So simply ni kuwa wao huo mchanganuo sio kwaajili ya wewe kununua nguzo au kifaa chochote ni kwaajili ya wewe kupata huduma hiyo.
Hata ukisoma quotation kabla ya kulipia unaambiwa vifaa vyote kuanzia kwenye meter waya mpaka nguzo vinabaki kuwa mali ya shirika na ndio maana hata ikitokea nguzo imeoza au meter imeharibika wa replace wao bila wewe mteja kuingia gharama yoyote.
Hivyo basi muelewe kuwa hamnunui nguzo wala kifaa chochote bali gharama mnazotozwa ni kuchangia ili ufikishiwe huduma ya umeme.
Ndio boss. Tanesco sio hardware store useme unaenda kununua nguzo au waya au meter. Pale unalipia huduma.Nguzo na vifaa vyote unavyolipia ni mali ya tanesco!
Kuuliza sio ujinga;- watanzania ambao walikuwa wamelipia service line kwa 27,000/= na kupewa risiti na bado walikuwa hawajafungiwa umeme wataongeza fedha au nini hatoma yao?Jamaa wapo fasta huenda template ilikuwepo kabisa, wameprint tu lakini mbona hawajafafanua kuhusu vijijini?
Alafu anasingizia katikati kuriharibiwa wakati maagizo ni ya kwake.
Huwa nashangaa sana wanaosifia Makamba ni akili kubwa.