Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

Nyie wapumbavu ndio mnaofanya ccm ijifanyie inachotaka
Kama mtu thinking capcity yake ni below 0 unategemea atoe maoni gani? Jana watu wameshupalia vijembe vya Ndugai pekee, Lakini kwangu kauli ya Tozo na gharama za umeme mtalipa tu, ilikuwa kauli ya mtanifanya nini!!
 
Huyu mama angecheza na saikolojia ya watz naona anapingana na magufuli,kama atagombea atachakazwa vibaya sana na upinzani
Kuingiza kwa tsh 27000 ilikuwa mtihani kwa baadhi ya watu hiyo 300k plus wataiweza?Ngoja tuone
 
27000 si no bei ya REA? Ina maana Bi Mkora hajui kama kuna hela inakatwa kwenye mafuta kwa ajili ya ku-support REA?
 
Sasa hii kodi ya REA watu wanayokatwa itakuwa inafanya kazi gani kama siyo wizi wa waziwazi na dhuluma kwa wananchi
 
Mimi nilishalipia 27,000/= nasubiri mita tu. Itakuwaje?
Pole
IMG_20211228_160309.jpg
 
Sasa hii kodi ya REA watu wanayokatwa itakuwa inafanya kazi gani kama siyo wizi wa waziwazi na dhuluma kwa wananchi
Ukisoma vizuri wale wa vijijini wanaendelea kulipa ile ile 27k
na ndio walengwa wa REA
 
Kwa hiyo wewe unatakaje alafu wewe hii nchi ajakabiziwe chizi kama mwanzo sasa nchi hipo mikononi kwa mtu anaejielewa mwenye hofu ya mungu mwenye huruma kwa binadamu wezie hiyo elfu 27 kwa nchi mzima unadhani tanesco ingekuwa na Hali gani kwa miaka mitano mbele lazima kuwepo na madaraja ya bei ya kuunganishiwa umeme vijijini na mijini. Kama mama aliongea hivyo hakina ndugai wenye strees ya 2025 walimshauli vibaya ili alibikiwe wao wapate cha kuongea lakini kwa uwezo wamungu kawashitukia .kwa ufupi kama hupo mijini lipia bei elekezi na kama hupo vijijini lipia bei elekezi
 
Hewaa kazi iendelelee! ngoja yatukute tuliokuwemo na tusio kuwemo, raha sana
Hadi tujitambue itakuwa hatuna tena Asset/s za kukopea yaani Bond itakuwa sisi wenyewe na kuuzwa tu

Ndugai umefanya kosa kubwa sana kuomba MSAMAHA maana ipo siku si miaka mingi maneno yako yatakuwa wazi japo wewe naye ni MNAFIKI sana hivyo yanayokukuta ni STAHIKI yako

Mama tuendelee tu hakuna ratizo sisi tunakuelewa we tenda tu Mama usiwasikilize wapinzani wako.
 
Misukule ya Mwendazake mna tabu sana

Umeme wa REA bei imebaki ileile elfu 27

Mimi niliweka umeme kwangu mwaka 2020 kipindi cha huyo Mwendazake wenu ni mjini na nililipa laki 9 njia tatu
 
kwa kifupi kuweka umeme kwenye nyumba kwa wengi itakuwa anasa. Wengi hawatamudu nilitegemea kungekuwa na bei ambayo ni medium sasa kilakitu ameachiwa mwananchi halafu unaambiwa miundombinu ya umeme inabaki kuwa mali ya TANESCO
Kwa hili Rais afikirie upya . Umeme ni miongoni mwa sekta inayogusa maisha ya mtu moja kwa moja.
 
Kwa gharama za umeme kupanda mh hapo watanzania tunaumia nanhayo matozo NI shida tuzidi kupambana maana Hali ngumu
 
Nyie wapuuzi mnaopiga kelele hela za REA, R ni Rural, sasa mjini ni rural? Tuache mambo ya kipuuzi, kama unataka hiyo rudi rural kwa 27000.
Huna akili wewe kula kulala
 
Mbona km imeprintiwa Tu steshenari kisha karatasi inapigwa picha na kupostiwa?Tutajuaje km ni tanesco wenyewe
Sasa kama imeprintiwa na stehenari huyo aliyepiga picha amepata faida gani?
Kwani haliwezi kuwa ofisi ya Tanesco popote pale maagizo yamefika maana ujue watu wapo fasta nao kulipia umeme wa 27elfu wakati mama Ameshakaza
 
Back
Top Bottom