Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

Kama palikuwa na tatizo la bei kwanini Tanesco hawakuwa wazi mapema waweke mambo sawa wateja wao wajue?

Kila kitu mpaka aongee Rais, hii tabia inatuchelewesha sana, hawa mameneja waachwe wafanye kazi zao wanasiasa wasiwaingilie
 
Safi sana samia kwa kuonuesha CCM na angenge lake wqlivyowanafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…