Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

vile vjj elfu mbili vilivyokuwa bado kupata umeme si ndo Basi Tena,kwa gharama hizi nani huko kjjn ataweza!!?. wale tuliokuwa tunawazodoa wameunganishiwa umeme vijumba vya nyasi chumba kimoja kumbe waliula .najuta bola na mm ningejengaga tu hata Banda la nyasi kwenye eneo langu saiv ningekuwa na umeme wa 27 elf kilaini. Sasa hizi gharama kutokanq na umbali si imekula kwangu!!
 
Ukweli utakuweka huru,
Sii wale walituambia 27,000 ila ukilipa tu imekula kwako yaani utapata umeme baada ya mwaka
Ila sasa wakichelewa na umelipa 500k
Aaah unawashukia tu
 
Jiandae mkuu
 
Wale wa mita 3 kutoka miundo mbinu gharama zipoje?
 
Hana watoto huyo anakaa kwa shemeji alikoolewa dadake
Ni kweli nimemuoa dada yake na anaishi kwangu, sasa namzimia Wi-Fi ili hata hiku jf asiingie, abaki seblen akiangalia katuni na wajomba zake
 
Ni kweli nimemuoa dada yake na anaishi kwangu, sasa namzimia Wi-Fi ili hata hiku jf asiingie, abaki seblen akiangalia katuni na wajomba zake
[emoji23][emoji23]
 
 
Nguzo na vifaa vyote unavyolipia ni mali ya tanesco!
 
Kuuliza sio ujinga;- watanzania ambao walikuwa wamelipia service line kwa 27,000/= na kupewa risiti na bado walikuwa hawajafungiwa umeme wataongeza fedha au nini hatoma yao?
 
Hivi kweli hawa tanesco wanaweza kuunganisha umeme kwa sh.27000 na mkashangilia shauri yenu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…