Responded HOJA TANESCO, naomba kujua utofauti wa bei za unit za umeme inasababishwa na nini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
667
Reaction score
1,403
Huku mitaani kuna watu wananunua unit za umeme takribani sh. 350 kwa unit 1, na wengine bei ipo chini zaidi kwa unit 1.

TANESCO, Naomba kujua tofauti hizi za bei zinatokana na nini?

======================================​

TANESCO WAMEFAFANUA 👇

Inatokana na TANESCO wenyewe wamepanga kuwa kuna wateja wa aina mbili, wanaotumia umeme kwa matumizi makubwa yaani unit nyingi kwa muda mfupi hawa wanalipa 350 kwa unit, kwa sh elfu 10 anapata unit 28 hawa wanaitwa tarrif 1

Kuna wanaotumia umeme kwa matumizi madogo yaani hawazidi unit 72 kwa mwezi hawa wakinunua umeme wa elfu 10 wanapata unit 82 wanaitwa tarrif zero, mara nyingi wanapatikana maeneo ya vijijini.

Ukiwa tarrif 1 na matumizi yako ni madogo basi inabidi ukae kwa miezi mitatu katika matumizi hayo madogo ya chini ya unit 72 then unaandika barua kwa meneja wako wa tanesco wilaya kuomba kuhamishiwa tariff zero, ila ukiwa tarrif zero then ukazidisha matumizi ya umeme ya zaidi ya unit 72 au umeme wa elfu 9 kwa mwezi kwa miezi mitatu mfululizo hapo mita itajihamisha yenyewe kutoka matumizi madogo kwenda matumizi makubwa yaani kutoka tarrif 0 kwenda tarrif 1 na hautaweza kuomba kurudishwa tena tarrif 0.
 
Inatokana na tanesco wenyewe wamepanga kuwa kuna wateja wa aina mbili, wanaotumia umeme kwa matumizi makubwa yaani unit nyingi kwa muda mfupi hawa wanalipa 350 kwa unit, kwa sh elfu 10 anapata unit 28 hawa wanaitwa tarrif 1

Kuna wanaotumia umeme kwa matumizi madogo yaani hawazidi unit 72 kwa mwezi hawa wakinunua umeme wa elfu 10 wanapata unit 82 wanaitwa tarrif zero, mara nyingi wanapatikana maeneo ya vijijini.

Ukiwa tarrif 1 na matumizi yako ni madogo basi inabidi ukae kwa miezi mitatu katika matumizi hayo madogo ya chini ya unit 72 then unaandika barua kwa meneja wako wa tanesco wilaya kuomba kuhamishiwa tariff zero, ila ukiwa tarrif zero then ukazidisha matumizi ya umeme ya zaidi ya unit 72 au umeme wa elfu 9 kwa mwezi kwa miezi mitatu mfululizo hapo mita itajihamisha yenyewe kutoka matumizi madogo kwenda matumizi makubwa yaani kutoka tarrif 0 kwenda tarrif 1 na hautaweza kuomba kurudishwa tena tarrif 0.
Ahsante kwa ufafanuzi, Mkuu.
 
Kwa maelezo mafupi, Kuna watu wa matumizi madogo hawa ni wale wanao tumia umeme wa shiling9,000 kwa mwezi
Na kuna watu wa matumizi makubwa hawa utumia umeme wa elf10,000 na zaidi kwa mwezi

Huyu mwenye matumizi madogo umeme wa elf9,000 anapata adi unit 50+

Wakat huyu wa matumizi makubwa umeme wa 10,000 hupata adi unit 20+ kwa mwezi
 
Huku mitaani kuna watu wananunua unit za umeme takribani sh. 350 kwa unit 1, na wengine bei ipo chini zaidi kwa unit 1.

TANESCO, Naomba kujua tofauti hizi za bei zinatokana na nini?
MIMI SIO TANESCO LAKINI NAKUJIBU NINACHOKIJUA

1. KUNA TARIF 1 YA KAWAIDA , MATUMIZ YA NYUMBANI NA VIWANDA VIDOGO BEI NDO HIYO 353 NA VAT
2. KUNA TARIF TWO HAWA NI KUANZIA WATU WENYE MATUMIZI YA UNIT 7500 KWA MWEZI, MARA NYINGI NI VIWANDA VYA KATI, BEI YAO IPO CHINI KIDOGO MAY BE 250-275
3. KUNA HAWA TARIFF 3 HAWA KINA MO, BAKHRESA, WATAKUJA WENYEWE KUTOA VIGEZO
4. Kuna hawa wa Tarrif 4 au D0 hawa ndo unaotaka kujua, hii tariff ni kwa ajili ya masikini vijijini wasiojiweza mfanano wa TASAF Hata kula yao ni shida, na matumizi yao hayatakiwi yazidi unit 75 kwa mwezi, kwasababu ye anaitaji taa basi, hawa wanauziwa umeme kwa Tsh 100 kwa unit moja

6, KUNA TARIFF 6 HII YA WATOTO WA NYUMBANI, HII WANAUZIWA WAFANYAKAZI WA TANESCO TU AMBAYO IDADI YAO NI AROUND 7000 SASA HAWA WANAKULA BATA , KWA SHILINGI 8500 WANAPEWA UNIT 750 INA MAANA UNIT MOJA SHILINGI KUMI, 10 HAWA JAMAA HAWAJUI MKAA WALA GESI WAO WANAPIKA KWA UMEME, MAJI MOTO. WATAKUJA KUJITETEA HAPA
 
MIMI SIO TANESCO LAKINI NAKUJIBU NINACHOKIJUA

1. KUNA TARIF 1 YA KAWAIDA , MATUMIZ YA NYUMBANI NA VIWANDA VIDOGO BEI NDO HIYO 235 NA VAT
2. KUNA TARIF TWO HAWA NI KUANZIA WATU WENYE MATUMIZI YA UNIT 7500 KWA MWEZI, MARA NYINGI NI VIWANDA VYA KATI, BEI YAO IPO CHINI KIDOGO MAY BE 250-275
3. KUNA HAWA TARIFF 3 HAWA KINA MO, BAKHRESA, WATAKUJA WENYEWE KUTOA VIGEZO
4. Kuna hawa wa Tarrif 4 au D0 hawa ndo unaotaka kujua, hii tariff ni kwa ajili ya masikini vijijini wasiojiweza mfanano wa TASAF Hata kula yao ni shida, na matumizi yao hayatakiwi yazidi unit 75 kwa mwezi, kwasababu ye anaitaji taa basi, hawa wanauziwa umeme kwa Tsh 100 kwa unit moja

6, KUNA TARIFF 6 HII YA WATOTO WA NYUMBANI, HII WANAUZIWA WAFANYAKAZI WA TANESCO TU AMBAYO IDADI YAO NI AROUND 7000 SASA HAWA WANAKULA BATA , KWA SHILINGI 8500 WANAPEWA UNIT 750 INA MAANA UNIT MOJA SHILINGI KUMI, 10 HAWA JAMAA HAWAJUI MKAA WALA GESI WAO WANAPIKA KWA UMEME, MAJI MOTO. WATAKUJA KUJITETEA HAPA
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
 
kama natumia umeme chini ya Unit 72 kwa mwezi na yule wa zaidi ya Unit hizo wote tukipata bei moja ya Unit kipi kitatokea.?

Namaanisha mfano Vocha za Simu wote tunanunua bei moj kwa wiki, kuna wanaomaliza kwa siku na kunawasiomliza mpaka wiki inaishi kwa nini na Luku isiwe hivyo?
 
Habari wateja wetu,

Tunawashukuru kwa swali lenu kuhusu bei za uniti za umeme, pamoja na wote waliochangia kutoa maoni na ufafanuzi kuhusu suala hili.

Tungependa kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu bei za uniti za umeme. Mfumo wa tozo za umeme umegawanyika katika makundi makuu mawili ya wateja, ambayo ni Tariff 1 na Tariff 4.

MAKUNDI YA WATUMIAJI WA UMEME - TAARIFA KUHUSU TARRIF 1 & 4 (T01 & T04)
Mfumo wa manunuzi ya umeme hupanga mita zote kulingana na matumizi ya mteja, eneo na vigezo vingine. Hakuna huduma ya "service charge", bali mita hupangwa katika makundi mawili ya matumizi, yaani kundi la T01 na T04. Kwa lugha rahisi, huitwa Tariffs (Matumizi).

Aina za Makundi ya Watumiaji wa Umeme Majumbani
  • Tariff 04 (T04): Matumizi ya chini ya unit 75 kwa mwezi, matumizi madogo vijijini pekee.
  • Tariff 01 (T01): Matumizi ya kati, mjini na vijijini kwa mteja mwenye matumizi zaidi ya unit 75 kwa mwezi. Kundi hili mteja hana kikomo cha manunuzi ya umeme/unit kwa mwezi, pia matumizi ni ya nyumbani na siyo viwandani kama wengi wanavyodhani.
NB: Kigezo cha kundi ambalo mita itapangwa na mfumo si matumizi pekee.

Vigezo vya Kundi la Tariff 04 (T04):​
  • Eneo: Liwe la kijijini na siyo mjini.​
  • Matumizi: Yawe chini ya unit 75 kwa mwezi. Hata kama upo kijijini lakini matumizi yako yanazidi unit 75, bado hautakidhi kigezo.​
  • Matumizi yasihusishe biashara, uzalishaji mali au nyumba yenye wapangaji.​
  • Mteja awe amefanya manunuzi ya umeme kwa zaidi ya miezi sita mfululizo kwa mita mpya, kwaajili ya tathimini ya matumizi yake ya umeme kwa muda huo.​
Ili kukidhi kuwa katika kundi la T04, ni lazima mteja akidhi vigezo vyote vilivyotajwa na siyo kimoja kati ya hivyo.
​
Bei za Unit kutokana na aina ya Tariff:
  • Unit 1 kwa mteja wa matumizi madogo (Tariff 4) ni Tsh 100/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 122/=
  • Unit 1 kwa mteja wa matumizi ya kawaida (Tariff 1) ni Tsh 292/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 357/=
Kumbuka
Mita ikishahamishwa kutoka kundi la T04 kwenda kundi la matumizi ya kati (T1) kutokana na kuzidisha manunuzi ya umeme zaidi ya unit 75 kwa mwezi, haiwezekani kurudishwa tena kwenye kundi la awali la T04, hata kama matumizi yatapungua baadaye au kubadilishiwa mita.

Asante. ^PK
 
Ili kukidhi kuwa katika kundi la T04, ni lazima mteja akidhi vigezo vyote vilivyotajwa na siyo kimoja kati ya hivyo.​

Kumbuka
Mita ikishahamishwa kutoka kundi la T04 kwenda kundi la matumizi ya kati (T1) kutokana na kuzidisha manunuzi ya umeme zaidi ya unit 75 kwa mwezi, haiwezekani kurudishwa tena kwenye kundi la awali la T04, hata kama matumizi yatapungua baadaye au kubadilishiwa mita.

Asante. ^PK
Kuna mtu amesema hapo juu kuwa kuna tariff 6 ambayo ni ya kwenu wafanyakazi wa tanesco ati mnapewa unit 750 kwa mwezi kwa shilingi 8,500/= hii ni ya kweli mkuu.
 
Habari wateja wetu,

Tunawashukuru kwa swali lenu kuhusu bei za uniti za umeme, pamoja na wote waliochangia kutoa maoni na ufafanuzi kuhusu suala hili.

Tungependa kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu bei za uniti za umeme. Mfumo wa tozo za umeme umegawanyika katika makundi makuu mawili ya wateja, ambayo ni Tariff 1 na Tariff 4.

MAKUNDI YA WATUMIAJI WA UMEME - TAARIFA KUHUSU TARRIF 1 & 4 (T01 & T04)
Mfumo wa manunuzi ya umeme hupanga mita zote kulingana na matumizi ya mteja, eneo na vigezo vingine. Hakuna huduma ya "service charge", bali mita hupangwa katika makundi mawili ya matumizi, yaani kundi la T01 na T04. Kwa lugha rahisi, huitwa Tariffs (Matumizi).

Aina za Makundi ya Watumiaji wa Umeme Majumbani
  • Tariff 04 (T04): Matumizi ya chini ya unit 75 kwa mwezi, matumizi madogo vijijini pekee.
  • Tariff 01 (T01): Matumizi ya kati, mjini na vijijini kwa mteja mwenye matumizi zaidi ya unit 75 kwa mwezi. Kundi hili mteja hana kikomo cha manunuzi ya umeme/unit kwa mwezi, pia matumizi ni ya nyumbani na siyo viwandani kama wengi wanavyodhani.
NB: Kigezo cha kundi ambalo mita itapangwa na mfumo si matumizi pekee.

Vigezo vya Kundi la Tariff 04 (T04):​
  • Eneo: Liwe la kijijini na siyo mjini.​
  • Matumizi: Yawe chini ya unit 75 kwa mwezi. Hata kama upo kijijini lakini matumizi yako yanazidi unit 75, bado hautakidhi kigezo.​
  • Matumizi yasihusishe biashara, uzalishaji mali au nyumba yenye wapangaji.​
  • Mteja awe amefanya manunuzi ya umeme kwa zaidi ya miezi sita mfululizo kwa mita mpya, kwaajili ya tathimini ya matumizi yake ya umeme kwa muda huo.​
Ili kukidhi kuwa katika kundi la T04, ni lazima mteja akidhi vigezo vyote vilivyotajwa na siyo kimoja kati ya hivyo.
​
Bei za Unit kutokana na aina ya Tariff:
  • Unit 1 kwa mteja wa matumizi madogo (Tariff 4) ni Tsh 100/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 122/=
  • Unit 1 kwa mteja wa matumizi ya kawaida (Tariff 1) ni Tsh 292/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 357/=
Kumbuka
Mita ikishahamishwa kutoka kundi la T04 kwenda kundi la matumizi ya kati (T1) kutokana na kuzidisha manunuzi ya umeme zaidi ya unit 75 kwa mwezi, haiwezekani kurudishwa tena kwenye kundi la awali la T04, hata kama matumizi yatapungua baadaye au kubadilishiwa mita.

Asante. ^PK
HUJAWEKA TARIFF 6, UNAYOTUMIA WEWE KAMA MFANYAKAZI WA TANESCO, UNIT 750 KWA TSH 8500 AU NI SIRI
 
Inatokana na TANESCO wenyewe wamepanga kuwa kuna wateja wa aina mbili, wanaotumia umeme kwa matumizi makubwa yaani unit nyingi kwa muda mfupi hawa wanalipa 350 kwa unit, kwa sh elfu 10 anapata unit 28 hawa wanaitwa tarrif 1

Kuna wanaotumia umeme kwa matumizi madogo yaani hawazidi unit 72 kwa mwezi hawa wakinunua umeme wa elfu 10 wanapata unit 82 wanaitwa tarrif zero, mara nyingi wanapatikana maeneo ya vijijini.

Ukiwa tarrif 1 na matumizi yako ni madogo basi inabidi ukae kwa miezi mitatu katika matumizi hayo madogo ya chini ya unit 72 then unaandika barua kwa meneja wako wa tanesco wilaya kuomba kuhamishiwa tariff zero, ila ukiwa tarrif zero then ukazidisha matumizi ya umeme ya zaidi ya unit 72 au umeme wa elfu 9 kwa mwezi kwa miezi mitatu mfululizo hapo mita itajihamisha yenyewe kutoka matumizi madogo kwenda matumizi makubwa yaani kutoka tarrif 0 kwenda tarrif 1 na hautaweza kuomba kurudishwa tena tarrif 0.
Sasa kwann upande wa mteja kutoka tarrif 1 kwenda tarrif zero n mpka uandke barua? Kwann wasibadilishe wenyewe (tannesco) hawababilishi automatically?
 
Habari wateja wetu,

Tunawashukuru kwa swali lenu kuhusu bei za uniti za umeme, pamoja na wote waliochangia kutoa maoni na ufafanuzi kuhusu suala hili.

Tungependa kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu bei za uniti za umeme. Mfumo wa tozo za umeme umegawanyika katika makundi makuu mawili ya wateja, ambayo ni Tariff 1 na Tariff 4.

MAKUNDI YA WATUMIAJI WA UMEME - TAARIFA KUHUSU TARRIF 1 & 4 (T01 & T04)
Mfumo wa manunuzi ya umeme hupanga mita zote kulingana na matumizi ya mteja, eneo na vigezo vingine. Hakuna huduma ya "service charge", bali mita hupangwa katika makundi mawili ya matumizi, yaani kundi la T01 na T04. Kwa lugha rahisi, huitwa Tariffs (Matumizi).

Aina za Makundi ya Watumiaji wa Umeme Majumbani
  • Tariff 04 (T04): Matumizi ya chini ya unit 75 kwa mwezi, matumizi madogo vijijini pekee.
  • Tariff 01 (T01): Matumizi ya kati, mjini na vijijini kwa mteja mwenye matumizi zaidi ya unit 75 kwa mwezi. Kundi hili mteja hana kikomo cha manunuzi ya umeme/unit kwa mwezi, pia matumizi ni ya nyumbani na siyo viwandani kama wengi wanavyodhani.
NB: Kigezo cha kundi ambalo mita itapangwa na mfumo si matumizi pekee.

Vigezo vya Kundi la Tariff 04 (T04):​
  • Eneo: Liwe la kijijini na siyo mjini.​
  • Matumizi: Yawe chini ya unit 75 kwa mwezi. Hata kama upo kijijini lakini matumizi yako yanazidi unit 75, bado hautakidhi kigezo.​
  • Matumizi yasihusishe biashara, uzalishaji mali au nyumba yenye wapangaji.​
  • Mteja awe amefanya manunuzi ya umeme kwa zaidi ya miezi sita mfululizo kwa mita mpya, kwaajili ya tathimini ya matumizi yake ya umeme kwa muda huo.​
Ili kukidhi kuwa katika kundi la T04, ni lazima mteja akidhi vigezo vyote vilivyotajwa na siyo kimoja kati ya hivyo.
​
Bei za Unit kutokana na aina ya Tariff:
  • Unit 1 kwa mteja wa matumizi madogo (Tariff 4) ni Tsh 100/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 122/=
  • Unit 1 kwa mteja wa matumizi ya kawaida (Tariff 1) ni Tsh 292/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 357/=
Kumbuka
Mita ikishahamishwa kutoka kundi la T04 kwenda kundi la matumizi ya kati (T1) kutokana na kuzidisha manunuzi ya umeme zaidi ya unit 75 kwa mwezi, haiwezekani kurudishwa tena kwenye kundi la awali la T04, hata kama matumizi yatapungua baadaye au kubadilishiwa mita.

Asante. ^Pk
Kama mteja alikuwa T04, mwezi mmoja akanunua umeme zaidi ya unit 75, atapelekwa kwenye T01 papo kwa papo au mpaka afanye hivyo mfululizo miezi kadhaa?
 
Habari ndugu mteja

Kila umeme unaotumia iwe kwa mfanyakazi au mteja wa kawaida lazima ulipie gharama sahihi.

Hata hivyo kuna makundi tofauti ya watumiaji Kama vile tariff 1, Tariff 2 nk hii ikiwa nikatika mgawanyo wa wateja kulingana na mahitaji yao ya miundombinu inayohudumia.

Hata hivyo kwa Tariff 6 ni kwa ajili ya Ofisi ambazo zimahusha malipo ya kVA. Hivyo kwa uelewa yapo makundi tofauti ya tariff kulingana na mahitaji ya wateja Kama vile majumbani, viwandani au ofisini.

Kila kundi kuna bei ambayo mamlaka inayosimamia huduma imepitisha (Ewura) kila unaponunua umeme.

Naomba kufahamu je Kuna kifaa kinachowezesha wateja kutumia meter Moja lakini kila mmoja akanunua umeme kivyake?
 
Habari ndugu mteja

Kila umeme unaotumia iwe kwa mfanyakazi au mteja wa kawaida lazima ulipie gharama sahihi.

Hata hivyo kuna makundi tofauti ya watumiaji Kama vile tariff 1, Tariff 2 nk hii ikiwa nikatika mgawanyo wa wateja kulingana na mahitaji yao ya miundombinu inayohudumia.

Hata hivyo kwa Tariff 6 ni kwa ajili ya Ofisi ambazo zimahusha malipo ya kVA. Hivyo kwa uelewa yapo makundi tofauti ya tariff kulingana na mahitaji ya wateja Kama vile majumbani, viwandani au ofisini.

Kila kundi kuna bei ambayo mamlaka inayosimamia huduma imepitisha (Ewura) kila unaponunua umeme.

Asante. ^PK
Nashukuru.

Edo kissy Uje mkuu japo jibu la kidiplomasia.
 
TUWEKEE TARIFFS ZOTE ZILIZOPO GHARAMA ZAKE NA AINA YA WATEJA NA HIZO OFISI ili tusie na maswali mengi
 
Back
Top Bottom