Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kumbe huu ni ukweli!HUJAWEKA TARIFF 6, UNAYOTUMIA WEWE KAMA MFANYAKAZI WA TANESCO, UNIT 750 KWA TSH 8500 AU NI SIRI
Kumbe huu ni ukweli!HUJAWEKA TARIFF 6, UNAYOTUMIA WEWE KAMA MFANYAKAZI WA TANESCO, UNIT 750 KWA TSH 8500 AU NI SIRI
Habari ndugu johnmashilatu, asante kwa kuwasiliana nasi.Hapo
Mwanza imekuwa kawaida umeme kukatwa alfajiri na kurejeshwa kati ya saa 12 na saa 1 usiku.
Tatizo hili limekuwapo kwa takriban wiki moja na zaidi na kupelekea usumbufu kwa wananchi, ikiwepo ukosefu wa huduma za maji ambao wanadai kukosa umeme.
Je, nini hasa chanzo cha tatizo hili, na ni lini linatarajiwa kumalizika?
Asante.Habari ndugu johnmashilatu, asante kwa kuwasiliana nasi.
Tunapenda kukufahamisha kuwa katizo la huduma ya umeme katika Mkoa wa Mwanza lilitangazwa rasmi na lilihusu baadhi ya maeneo kwa siku zilizoainishwa kwenye tangazo la TANESCO.
Katizo hilo lilipangwa kwa muda ili kupisha utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma. Mradi huu unalenga kuimarisha miundombinu ya umeme pamoja na kuongeza uhakika na ubora wa huduma ya umeme kwa wateja.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na tunakushukuru kwa uvumilivu wako. Asante.^FL
Ndugu johnmashilatu,S
Asante.
Sio wateja/ wabanchi wote waliona/ kusikia tangazo hilo. Ingekuwa vyema kama ungeyarejea yaliyomo hasa hiyo " baadhi" ya maeneo.
Pia, swali langu lilitaka kufahamu ni lini tatizo hilo litamalizika?
Habari ndugu Holoholo, asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja na pole kwa changamoto hiyo.TANESCO naona kuna swali hamlijibu au mnalikwepa kimakusudi. Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma za umeme, nina nyumba kama nne za vijijini zote nimeziunganishia umeme. Hapo awali kila nyumba ilikuwa ipo kwenye matumizi madogo ya umeme, yaani tsh 9200 unapewa unit 75. Lakini kuna nyumba moja uliisha umeme wakati mimi sipo, wakanunua umeme wa alfu tatu, na kuanzia siku hiyo mambo yalibadilika,uweme huohuo wa tsh 9200 napewa unit kati ya 25/24, je hapo matumizi yangu yalipanda au kuweka umeme wa chini ya 9200 ndio chanzo? Kwa nini?
Wewe ndio fala huelewi nini watu au tanesco wamejibu, bei zinatofautiana kutokana na aina ya kiwango cha matumizi kwa mwezi ndio maana kuna tartifs mbalimbali, wanaotumia umeme kidogo hasa vijijini maana yake ni kundi la maskini wao wamewekewa unit moja kwa sh 100, wenye matumizi ya kati wamewekewa sh 300. Sasa wewe unachohoji nini kama sio ujuaji halafu mbaya zaidi ni new member unafoka.Mijadala mingi humu jukwaani inadhihirisha watanzania wengi ni weupe vichwani. Swali ni kwanini bei zitofautiane? Mtu anajibu kwa sababu kuna tariff 0 na tarrif 1. Jamani hebu tujifunzeni reasoning kama hatuna uwezo huo basi tuna safari ndefu sana. Anyway; Mleta mada anaka kujua hivi "Kwani wateja wote bila kujali matumizi yao wakiuziwa umeme kwa bei moja kuna tatizo gani?" Mbona mafuta tunauziwa kwa bei hiyo hiyo moja bila kujali unayatumia kwa kiwango gani?
kwanini wote wasiwe na bei mojaHabari wateja wetu,
Tunawashukuru kwa swali lenu kuhusu bei za uniti za umeme, pamoja na wote waliochangia kutoa maoni na ufafanuzi kuhusu suala hili.
Tungependa kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu bei za uniti za umeme. Mfumo wa tozo za umeme umegawanyika katika makundi makuu mawili ya wateja, ambayo ni Tariff 1 na Tariff 4.
MAKUNDI YA WATUMIAJI WA UMEME - TAARIFA KUHUSU TARRIF 1 & 4 (T01 & T04)
Mfumo wa manunuzi ya umeme hupanga mita zote kulingana na matumizi ya mteja, eneo na vigezo vingine. Hakuna huduma ya "service charge", bali mita hupangwa katika makundi mawili ya matumizi, yaani kundi la T01 na T04. Kwa lugha rahisi, huitwa Tariffs (Matumizi).
Aina za Makundi ya Watumiaji wa Umeme Majumbani
NB: Kigezo cha kundi ambalo mita itapangwa na mfumo si matumizi pekee.
- Tariff 04 (T04): Matumizi ya chini ya unit 75 kwa mwezi, matumizi madogo vijijini pekee.
- Tariff 01 (T01): Matumizi ya kati, mjini na vijijini kwa mteja mwenye matumizi zaidi ya unit 75 kwa mwezi. Kundi hili mteja hana kikomo cha manunuzi ya umeme/unit kwa mwezi, pia matumizi ni ya nyumbani na siyo viwandani kama wengi wanavyodhani.
Vigezo vya Kundi la Tariff 04 (T04):
Eneo: Liwe la kijijini na siyo mjini. Matumizi: Yawe chini ya unit 75 kwa mwezi. Hata kama upo kijijini lakini matumizi yako yanazidi unit 75, bado hautakidhi kigezo. Matumizi yasihusishe biashara, uzalishaji mali au nyumba yenye wapangaji. Mteja awe amefanya manunuzi ya umeme kwa zaidi ya miezi sita mfululizo kwa mita mpya, kwaajili ya tathimini ya matumizi yake ya umeme kwa muda huo.Ili kukidhi kuwa katika kundi la T04, ni lazima mteja akidhi vigezo vyote vilivyotajwa na siyo kimoja kati ya hivyo.Bei za Unit kutokana na aina ya Tariff:
Kumbuka
- Unit 1 kwa mteja wa matumizi madogo (Tariff 4) ni Tsh 100/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 122/=
- Unit 1 kwa mteja wa matumizi ya kawaida (Tariff 1) ni Tsh 292/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 357/=
Mita ikishahamishwa kutoka kundi la T04 kwenda kundi la matumizi ya kati (T1) kutokana na kuzidisha manunuzi ya umeme zaidi ya unit 75 kwa mwezi, haiwezekani kurudishwa tena kwenye kundi la awali la T04, hata kama matumizi yatapungua baadaye au kubadilishiwa mita.
Asante. ^PK
hayawezi yakaweka, mifumo imekaa kiwizi wizi balaa had wao wanaona aibu kuweka apaTUWEKEE TARIFFS ZOTE ZILIZOPO GHARAMA ZAKE NA AINA YA WATEJA NA HIZO OFISI ili tusie na maswali mengi
Umeambiwa uweke Tarrif zote na bei zake hapa mbona hilo unakwepaHabari ndugu Holoholo, asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja na pole kwa changamoto hiyo.
Tafadhali tuandikie namba yako ya mita kwa maelekezo zaidi.^FL
nahtaji tu ufafanuzi sitataja namba ya mita yangu kwa sababu kiusalama na binafsi.Habari ndugu Holoholo, asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja na pole kwa changamoto hiyo.
Tafadhali tuandikie namba yako ya mita kwa maelekezo zaidi.^FL
wewe ndiye haujamuelewa jamaa. Jamaa anauliza, kwa nini kuwe na madaraja wakati umeme ni uleule? Kwa nini umeme usiwe wa bei moja kwa wote maskini na tajiri? Kama mtu ana matumizi makubwa kwa mwezi maana yake si itamuhtaji kununua umeme kulingana na mahtaji yake? Kwa nini wanamuongezea bei ya unity? Kwa niaba yako nawaita TANESCO kwa ufafanuzi.Wewe ndio fala huelewi nini watu au tanesco wamejibu, bei zinatofautiana kutokana na aina ya kiwango cha matumizi kwa mwezi ndio maana kuna tartifs mbalimbali, wanaotumia umeme kidogo hasa vijijini maana yake ni kundi la maskini wao wamewekewa unit moja kwa sh 100, wenye matumizi ya kati wamewekewa sh 300. Sasa wewe unachohoji nini kama sio ujuaji halafu mbaya zaidi ni new member unafoka.
eti wanataka niwatajie mita namba yangu then what? Labda kwenye mitandao mingine ya kijamii ila sio humu jf.Umeambiwa uweke Tarrif zote na bei zake hapa mbona hilo unakwepa
Tarrif 6 unit moja wanainunua kwa shilingi ngapi?
shukrani
Habari ndugu Tulibhalegha, asante kwa kuwasiliana nasi.Mijadala mingi humu jukwaani inadhihirisha watanzania wengi ni weupe vichwani. Swali ni kwanini bei zitofautiane? Mtu anajibu kwa sababu kuna tariff 0 na tarrif 1. Jamani hebu tujifunzeni reasoning kama hatuna uwezo huo basi tuna safari ndefu sana. Anyway; Mleta mada anaka kujua hivi "Kwani wateja wote bila kujali matumizi yao wakiuziwa umeme kwa bei moja kuna tatizo gani?" Mbona mafuta tunauziwa kwa bei hiyo hiyo moja bila kujali unayatumia kwa kiwango gani?
Nchi hii ina mambo mengi ya ovyo kweli kweli. Kutoka Tarrif 01 kwenda Tarrif 0 ni mpaka uandike barua, lakini kutoka Tarrif 0 kwenda Tarrif 01 ni automatic. Kwa nini isiwe automatic hata kutoka Tarrif 01 kwenda Tarrif 0?Sasa kwann upande wa mteja kutoka tarrif 1 kwenda tarrif zero n mpka uandke barua? Kwann wasibadilishe wenyewe (tannesco) hawababilishi automatically?
Asante TANESCOHabari wateja wetu,
Tunawashukuru kwa swali lenu kuhusu bei za uniti za umeme, pamoja na wote waliochangia kutoa maoni na ufafanuzi kuhusu suala hili.
Tungependa kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu bei za uniti za umeme. Mfumo wa tozo za umeme umegawanyika katika makundi makuu mawili ya wateja, ambayo ni Tariff 1 na Tariff 4.
MAKUNDI YA WATUMIAJI WA UMEME - TAARIFA KUHUSU TARRIF 1 & 4 (T01 & T04)
Mfumo wa manunuzi ya umeme hupanga mita zote kulingana na matumizi ya mteja, eneo na vigezo vingine. Hakuna huduma ya "service charge", bali mita hupangwa katika makundi mawili ya matumizi, yaani kundi la T01 na T04. Kwa lugha rahisi, huitwa Tariffs (Matumizi).
Aina za Makundi ya Watumiaji wa Umeme Majumbani
NB: Kigezo cha kundi ambalo mita itapangwa na mfumo si matumizi pekee.
- Tariff 04 (T04): Matumizi ya chini ya unit 75 kwa mwezi, matumizi madogo vijijini pekee.
- Tariff 01 (T01): Matumizi ya kati, mjini na vijijini kwa mteja mwenye matumizi zaidi ya unit 75 kwa mwezi. Kundi hili mteja hana kikomo cha manunuzi ya umeme/unit kwa mwezi, pia matumizi ni ya nyumbani na siyo viwandani kama wengi wanavyodhani.
Vigezo vya Kundi la Tariff 04 (T04):
Eneo: Liwe la kijijini na siyo mjini. Matumizi: Yawe chini ya unit 75 kwa mwezi. Hata kama upo kijijini lakini matumizi yako yanazidi unit 75, bado hautakidhi kigezo. Matumizi yasihusishe biashara, uzalishaji mali au nyumba yenye wapangaji. Mteja awe amefanya manunuzi ya umeme kwa zaidi ya miezi sita mfululizo kwa mita mpya, kwaajili ya tathimini ya matumizi yake ya umeme kwa muda huo.Ili kukidhi kuwa katika kundi la T04, ni lazima mteja akidhi vigezo vyote vilivyotajwa na siyo kimoja kati ya hivyo.Bei za Unit kutokana na aina ya Tariff:
Kumbuka
- Unit 1 kwa mteja wa matumizi madogo (Tariff 4) ni Tsh 100/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 122/=
- Unit 1 kwa mteja wa matumizi ya kawaida (Tariff 1) ni Tsh 292/= bila VAT, pamoja na VAT ni Tsh 357/=
Mita ikishahamishwa kutoka kundi la T04 kwenda kundi la matumizi ya kati (T1) kutokana na kuzidisha manunuzi ya umeme zaidi ya unit 75 kwa mwezi, haiwezekani kurudishwa tena kwenye kundi la awali la T04, hata kama matumizi yatapungua baadaye au kubadilishiwa mita.
Asante. ^PK
Asante kwa maelekezo mazuri,Asante TANESCO
Asante kwa maelekezo mazuri,Nchi hii ina mambo mengi ya ovyo kweli kweli. Kutoka Tarrif 01 kwenda Tarrif 0 ni mpaka uandike barua, lakini kutoka Tarrif 0 kwenda Tarrif 01 ni automatic. Kwa nini isiwe automatic hata kutoka Tarrif 01 kwenda Tarrif 0?
Lakini pia usidhani kwamba utaandika barua leo ya kuomba kubadilishiwa Tarrif ukafanikiwa leo au, hakuna kitu cha namna hiyo. Utasumbuka sana tena sana.
Wakati wa utawala wa JPM ilikuwa rahisi angalau, lakini baada tu ya kutoweka kwake, ni ngumu mno.
Habari, ndugu mteja.Asante kwa maelekezo mazuri,
Naomba kufahamishwa, kama Mimi ni mteja wa tarrif 04. Kwa mwezi nikiwa nanunua unit 20 TU, inaruhusiwa? Ama mpaka niwe nanunua unit 75 kwa mwezi? TANESCO
Habari, ndugu mteja.Sasa kwann upande wa mteja kutoka tarrif 1 kwenda tarrif zero n mpka uandke barua? Kwann wasibadilishe wenyewe (tannesco) hawababilishi automatically?