Mijadala mingi humu jukwaani inadhihirisha watanzania wengi ni weupe vichwani. Swali ni kwanini bei zitofautiane? Mtu anajibu kwa sababu kuna tariff 0 na tarrif 1. Jamani hebu tujifunzeni reasoning kama hatuna uwezo huo basi tuna safari ndefu sana. Anyway; Mleta mada anaka kujua hivi "Kwani wateja wote bila kujali matumizi yao wakiuziwa umeme kwa bei moja kuna tatizo gani?" Mbona mafuta tunauziwa kwa bei hiyo hiyo moja bila kujali unayatumia kwa kiwango gani?