TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

Yawasaidie wengine kivipi. Dumb head!
Hata hao wengine wana miguu na akili ya kwenda tanesco. Kwamba wewe ni saint unawaendea tanesco.kila.mtu mwenye tatizo la luku/umeme. Acha kujichosha na kujipa umuhim bila sababu.
Again a very egoistic comment.Ila naomba ukumbuke kwamba niko huru kuleta chochote JF,usinipangie,wewe sio moderator.
 
Yawasaidie wengine kivipi. Dumb head!
Hata hao wengine wana miguu na akili ya kwenda tanesco. Kwamba wewe ni saint unawaendea tanesco.kila.mtu mwenye tatizo la luku/umeme. Acha kujichosha na kujipa umuhim bila sababu.
You really can't see?Uovu umekupofusha,pole.
 
Kama walikua wanakupa 28unit Ina maana ulikua haukatwi kabisa debt ya jengo mana mana umeme wa 10k unapata 23unit na debt 1500.....

So wewe inaonekana ulikua na deni la miez minne Chief
 
Payment Successful.LUKU
Inamaboresho

Ingiza tokeni hizi kwa mpangilio

Token1: 0214 7380 7263 8189 2732
Token2: 3599 6672 9912 6099 1093
Token3: 0305 5672 8250 6378 2853

23.8KWH

JUMLA 10,000.00 05/06/24 20:07
 
Payment Successful.
9001241821353199693
28.0KWH

0351 1219 4444 3891 6505

Cost 8,196.73
VAT 18% 1475.40
EWURA 1% 81.97
REA 3% 245.90
TOTAL 10,000.00 30/06/24 13:53
 
Kama walikua wanakupa 28unit Ina maana ulikua haukatwi kabisa debt ya jengo mana mana umeme wa 10k unapata 23unit na debt 1500.....

So wewe inaonekana ulikua na deni la miez minne Chief
Unajua,maneno mengine mnayotumia myapime.Nina deni?Unaniibia mali yangu halafu siku ikitokea hujaniibia unaniambia nina deni?Yeah,hapo ndipo binadamu mlipofika,mmedanganywa mpaka hata haki zenu mna for go in the name of Sheria zilizotungwa kinyemela ili kuwanyang'anya haki zenu!No not me,I will never give in to such repressive actions.
 
Hata mimi wamenifanyia hivyo hivyo Mkuu. Huu ni wizi mchana kweupe kama hatutapata maelezo ya ziada. Tizama hii receipt..

Malipo yamekamilika.24313772568
9001241831948450357
11.2KWH

1350 0256 0291 4971 9717

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00 01/07/24 19:48

Nikawapigia wakasema itakuwa sikulipa madeni ya nyuma kitu ambacho ni uongo kabisa kwa mujibu wa receipt yangu ya mwezi wa 6 sidaiwi deni lolote la kodi.

Malipo yamekamilika.24313772568
9001241592242185973
1.4KWH

2601 8609 9430 4526 3448

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 1500.00
TOTAL 2,000.00 07/06/24 22:42
 
Je wanaoikupa izo 28 unit uwa wanakuinyesha debts wamekata kiasi gan mkuu usipanic sms zako za miez ya nyuma ziangalie vizur
 
Kwa hali hii bora kufunga tu umeme wa jua.
 
Ng
ngija na mie nikinunua mwez huu nitareta mrejesho Mana nimenunua 30/6/24 lbd kuna wizi kweli
 
Tupeane pole,ila obviously upo wizi unaoendelea.Receipts hizi zingekuwa hard copies ingekuwa rahisa sana kuwa corner,lakini with soft copies ni vigumu,kwa kuwa ukishaingiza umeme wako unafuta tu message.Nchi hii ni janga jamani,dah!
 
Hii serikali nashindwa kuielewa sijui wanamwaminije miguru awaendeshee hizi plan za uzalishaji zote ndani ya serikali.

Na miguru yeye hana plan nyingine zaidi ya kuamini kupitia kuwakamua watu. Yeye hana plan nyingine ndani ya serikali zaidi ya kukamua ng'ombe wa maziwa asiemlisha.

Gharama zote hizu kuanzia tozo,kuna tozo za bank,kodi kubwa,kupanda kila siku TRA,hizi ongezeko kubwa la gharama za umeme,mawazo yote hayo yanatoka kwa huyu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…