TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

Tilivo sema kwamba technology ya HEP is outdated ni gharama and unreliable wengi waliona tuna mpinga JPM....huyu jama alikua mkrupukaji kutuingiza gharama zisio za lazima, sijui alipewa je Uraisi.

We angalia mpaka hilo bwawa lianze kufanya kazi kuna unafuu wowote kwenye bei za umeme per unit, kuna hatua ypyote ya maendeleo kiviwanda. Hali ni ile ile, kuongeza deni la taifa bure.
Punguza kuhamaki!
 
Nchi za Ulaya na Marekani wanahangaika saivi kutengeneza vyanzo vya umeme vya nyuklia, sisi huku tunapambana na umeme wa maji

Kwa mabadiliko haya ya tabia nchi tukiendelea kutegemea huu umeme wa maji tusitegemee kuondokana na mgao wa umeme kamwe!

Kenya wamepata kibali kutengeneza umeme wa nyuklia. Sisi madini ya Uranium tunayo alafu kila siku tunapoteza mahela kwenye miradi ya umeme wa maji wakati Tume ya Atomic wamekaa tu hawajui hata wafanye nini.

Nchi hii shida ni kuwa na viongozi wasio na akili full stop. Wanaupeo mdogo sana wa kufikiri na kuona mbali.
CCM kuna wenye akili?
 
Tilivo sema kwamba technology ya HEP is outdated ni gharama and unreliable wengi waliona tuna mpinga JPM....huyu jama alikua mkrupukaji kutuingiza gharama zisio za lazima, sijui alipewa je Uraisi.

We angalia mpaka hilo bwawa lianze kufanya kazi kuna unafuu wowote kwenye bei za umeme per unit, kuna hatua ypyote ya maendeleo kiviwanda. Hali ni ile ile, kuongeza deni la taifa bure.
Hauko sawa upstairs wewe.
 
Leta hoja mkuu, acha makasiriko kuna vyazo vya umeme vya wakika ambavyo tungewekeza kama nuclear plant solar gesi nk....ila jama wenu alikurupuka kutuingiza kwenye hasara kubwa .
Nuclear ni gharama sana
Hydro ni gharama nafuu
Gesi mbona ndio tunazalisha sana. Huu umeme unaoona unawaka 65% unatokana na gesi
Tatizo la kukatika umeme halitokani na upungufu wa umeme, tatizo kubwa lipo kwenye usafirishaji. Sasa hivi uzalishaji umeme ni zaidi ya megawatt 3000, mahitaji yetu yapo chini ya megawatt 2000. So hatuna upungufu. Ila miundbiu ya usambazaji ndio mtihani
 
Ni kweli mgao upo tena mkali sana ukipita mitaa ya kariakoo na posta Kila siku utasikia majenereta yanaunguruma

Nahisi watu wamechoka kuongea
 
Kuna habari kwamba bwawa la umeme maji yameshuka na Kuna mgao wa umeme unaendelea kimya kimya

Uzalishaji umepungua katika bwawa la mwalimu Nyerere

Hii imekaaje tanesco njooni mtujibu

Umeme kukatika asubuhi mpaka jioni je hakuna tatizo la mgao wa umeme?
Tanesco hawajibu tetesi
 
Bwana mdogo technically umetumwa na Songas ?
Usiwasikilize mabeberu wanyonyaji kupe Hawa. Mvua ndio zinaanza Nyanda za juu kusini halafu unatuletea za kuleta. Waambie Songas hata maji yakauke hatuko tayari kurudiana nao. Kwanza ifahamike tunazindua bwawa la Rusumo.
 
Kwa hiyo karne hii ya 21 tutegemee umeme wa mvua?

Hivi nyie watu mna akili kweli? Kwa hiyo ukitokea ukame nchi ikae tu gizani?
 
Nuclear ni gharama sana
Hydro ni gharama nafuu
Gesi mbona ndio tunazalisha sana. Huu umeme unaoona unawaka 65% unatokana na gesi
Tatizo la kukatika umeme halitokani na upungufu wa umeme, tatizo kubwa lipo kwenye usafirishaji. Sasa hivi uzalishaji umeme ni zaidi ya megawatt 3000, mahitaji yetu yapo chini ya megawatt 2000. So hatuna upungufu. Ila miundbiu ya usambazaji ndio mtihani
Small size nuclear plant ingezalisha sio chini ya magwatts 10,000. technology tungetumia ya Urusi ulinium tunao......megawat 10,000 ungetosha nchi yote bila kuangaika na Hep ya meggwstts 3000 tu, makandokando mengi gharama kubwa wezi kibao nk......hi nchi haina planners kabisa CCM wenyewe wanaangalia survival yao katika uongozi tu sio maendeleo.
 
Tilivo sema kwamba technology ya HEP is outdated ni gharama and unreliable wengi waliona tuna mpinga JPM....huyu jama alikua mkrupukaji kutuingiza gharama zisio za lazima, sijui alipewa je Uraisi.

We angalia mpaka hilo bwawa lianze kufanya kazi kuna unafuu wowote kwenye bei za umeme per unit, kuna hatua ypyote ya maendeleo kiviwanda. Hali ni ile ile, kuongeza deni la taifa bure.
Hii technology inaweza kuonekana outed kule kwenye temperament countries nchi za baridi Kali ambapo Maji uganda wakati fulani! Kwa equatorial regions ambapo sisi tumo na jua ni mwanzo mwenga kwa mwaka....!Nashawishika kukuweka kwenye kundi Lile litengenezalo matatizo ili lifaidike na matatizo hayo wakati watu wengi wakiumia kwa matatizo hayo
 
Kwa hiyo karne hii ya 21 tutegemee umeme wa mvua?

Hivi nyie watu mna akili kweli? Kwa hiyo ukitokea ukame nchi ikae tu gizani?
Hii comment yako ya ajabu. Tuna energy mix, Hadi Sasa gas ndio inazalisha zaidi umeme kuliko vyanzo vingine. Na bado miradi ya gesi kuzalisha umeme inaendelea

Lengo ni kuwa na vyanzo vingi kuwa na surplus, kitu ambacho tumefanikiwa hadi sasa
 
Small sizu nuclear plant ingezalisha sio chini ya magwstts 10,000. technology tungetumia ya Urusi ulinium tunao......megawat 10,000 ungetosha nchi yote bila kuangaika na hep ya meggwstts 3000 tu, makandokando mengi gharama kubwa wezi kibao nk......hi nchi haina planners kabisa CCM wenyewe wanaangalia survival yao katika uongozi tu sio maendeleo.
Mkuu unaelewa kuhusu vyanzo za uzalishaji umeme? Nuclear energy ya kuzalisha megawatt 10000?????
Umeelewa kweli ulichoandika?

Nchi kama Tanzania unaweza kuzisha umemq wa megawatt 10000 kwa nuclear? Hiki umeandika mbona ni kitu Cha ajabu?
 
Kuna habari kwamba bwawa la umeme maji yameshuka na Kuna mgao wa umeme unaendelea kimya kimya

Uzalishaji umepungua katika bwawa la mwalimu Nyerere

Hii imekaaje tanesco njooni mtujibu

Umeme kukatika asubuhi mpaka jioni je hakuna tatizo la mgao wa umeme?
Shetani hatoacha kuisumbua Tanzania hadi CCM watoke madarakani
 
Back
Top Bottom