Sio kweli mkuu nuclear ni gharama mnoo.
Leta mfano wa mradi wa kuzalisha umeme wa nuclear na gharama zake
Acha kukariri , technology ya ufuaji umeme kwa nuclear ina evolve kila siku siku hizi Small modular reactors ambazo ni cheap , hazihitaji running cost kubwa ,ni safe ,reliable ,rahisi kuhamisha na kufunga ,kuoperate ,hazihitaji kiasi kikubwa cha maji kuoperate kama ilivyo hydroelectric power na pia ni cheap kulinganisha na hydro .
Hizi zinakuwa katika small units za kuzalisha megawati 300 nk ,so let's say tunataka kufunga mradi wa kuzalisha megawatt 3000 ,hapo zinafungwa units 10 Tu ,hiyo gharama ni ndogo kuliko kukimbizana na ujenzi wa mabwawa na kufunga turbine na kuwa na mradi usio reliable ,unaotegemea kuwepo maji ,ni upuuzi sana
Umeme kwa maisha ya leo sio luxury ni necessary commodity .
Namshangaa mduwanzi anayeweza ropoka kwamba hii nchi inajitosheleza kwa umeme ,
Ni mpumbavu pekee asiyejua lolote kuhusu hii sector ndio atakubali ana na wewe .
Advantage ya hizi small reactors ni kwamba unaweza kufunga hata maeneo ambayo hayajafikiwa na huduma ya umeme ,so kwa njia hiyo hata huduma za kusambaza umeme kwa kutumia pesa nyingi kujenga transmission lines zinaondoka ,yaani kama eneo linahitaji megawati 300 inafungwa hapo unit moja portable ,inafua umeme hapo hamna gharama ya kutandaza manyaya na nguzo kwa umbali mrefu toka kwenye grid ya taifa mpaka kufika huko , gharama za kujenga mifumo ya kusafirisha umeme ni ghali pia
France ni moja ya nchi ambayo imefanikiwa katika hili na wanazalisha umeme wao kwa kutegemea nuclear kwa karibu asilimia 70 na ndio nchi ambayo haikuwa affected Sana pale mrusi aliouacha kusambaza gesi ulaya ,thats means wako energy independent
Na si umeme wa vibaba huu tunaozalisha ,huu ni umasikini ,yaani kufunga hydroelectric power plant moja ya megawati hizo chache ndio iweze kufanya demand ya watu milioni 65 iwe met ,ni upungufu wa akili
Na mkumbuke mahitaji ya nishati ya umeme yanaongezeka kila siku maana watu wanakuja wanafungua viwanda migodi na population inaongezeka kila siku .
Kuzalisha hizi megawatts chache za kwenye grid yetu ni indicator ya umasikini wa akili na umasikini wa mali , energy or power consumption ni indicator strong ya kuonyesha kama nchi inashughuli nyingi za uzalishaji wa kiuchumi na uchumi wake unakua kwa kasi , umeme si kuwasha taa na friji tu huko nyumbani ,umeme ni uchumi kwa dunia ya sasa