TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

Hata sisi ndugu zako tulikuwa tunapinga usiolewe.

Lakini ulingangania tu, sasa ndoa imekushinda tunaopata aibu ni sisi ndugu zako.
 
Hata sisi ndugu zako tulikuwa tunapinga usiolewe.

Lakini ulingangania tu, sasa ndoa imekushinda tunaopata aibu ni sisi ndugu zako.
 
Canada wameweka dola bilioni 12 kwa ajili ya kujenga bwawa la kuzalisha megawatts 1000s tu. Je wa Canada hawana akili ?

Canada Hawajui kama umeme wa maji umepitwa na wakati ?
 
Pumba mama yako
Kilaza ! Shut the fvck up !
Kajadili Simba na Yanga ,hii mada ni kubwa kuliko uwezo wako wa akili
Povu. Unaandika pumna utafikiri dunia nzima wewe peke yako ndio unajua nuclear itanyaje kazi kwa nafuu. Ungekua unajua hiyo technology nchi nyingi zisingeingia gharama kubwa wanazoingia

Mkishakua na bando tu mnaandika pumba mmavyotaka
 
Wakoshishakua na bando tu waandika pumba kadri wanavyojisikia
 
Povu. Unaandika pumna utafikiri dunia nzima wewe peke yako ndio unajua nuclear itanyaje kazi kwa nafuu. Ungekua unajua hiyo technology nchi nyingi zisingeingia gharama kubwa wanazoingia

Mkishakua na bando tu mnaandika pumba mmavyotaka
Tanzania hatuna vyoo na madawati mpaka sasa tutakuwa na uwezo wa kuhudumia mradi wa Nyuklia??

Kuna watu elimu haijawasaidia bado.
 
Hizi ndio habari wabongo mnapenda
 
Reactions: UCD
Tanzania hatuna vyoo na madawati mpaka sasa tutakuwa na uwezo wa kuhudumia mradi wa Nyuklia??

Kuna watu elimu haijawasaidia bado.
Why not ?

Kwani choo ni jukumu la government?
 
Sababu wameshakueleza hapo juu na wewe unaleta propanganda zako hapa!
 
Wewe bwege tu. Watz sasa wanapata umeme wa uhakika kwa kuwa uzalishaji wa umeme ni wa uhakika na sasa wanaboresha njia za usafirishaji wa umeme kwenda kwa wateja ndio maana ya kukatwa kwa umeme kwa sasa na wala siyo upungufu wa umeme. Wewe endelea kubwatuka tu lakini watz waliowengi wanamkubali Rais Magufuli ile mbaya!!
 
Mbona umeonesha upumbavu mkubwa sana!

Yani unataka chura kiziwi akupunguzie bei ya umeme wakati ameamua kuongeza 1500 kila unaponunua umeme ili waongeze mapato?

Umecoment mavi matupu
 
Nchi hii CCM wanaichezea sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…