TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

Sexless
 
Hawaja kanusha kuwepo kwa nyufa kwenye Kuta za bwawa kwa hiyo ina maanisha ni kweli nyufa zipo, lakini kwa jinsi mlivyo zoea kudanganya tusubirie muda utaongea vizuri, tumepigwa tena hapa 🤦🤦
 
Ni kweli kabisa mtani tena huko kwenye Reli ndio kuna utumbo mwingine wanabadili viti eti vimechakaa wakati treni haijatembea na vituo havija tumika, niliwauliza kwanini visinge kuwa vya mwisho kufungwa karibu ya uzinduzi wa stesheni hizo? Kuna mahala unaweza hata kulia Mkaguzi wa serekali anakuja kukaguwa mradi anaanza kuhadisiwa tu huku anatikisa kichwa akimaliza huyoooooo kwenye v8 mnaona vumbi tu kesho kwenye radio ni kujisifu ujings tu.
 
Sijui kama hili bwawa litahimili miaka 10 kabla halijapasuka na kuleta madhara makubwa kwa watu, mazingira, na viumbe hai wengine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijui kama hili bwawa litahimili miaka 10 kabla halijapasuka na kuleta madhara makubwa kwa watu, mazingira, na viumbe hai wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
nyufa plus waziri anaanza kushauri juu ya kuweka tuta lingine .kuna nini tena hapo mkuu?

unajenga mlimani kwenye mfinyanzi ujamaliza ujenzi nyufa hizi hapa. kuna nyumba hapo?
 
Ona sasa kumbe habari ya Nyufa ni FAKE NEWS za wale wanaomchukia yule Mwamba 😅😅🙏
Basi itabidi tuseme “ washindwe na walegee “ Case closed 🙏🙏
 

Ila hawajasema kama kuna nyufa au hakuna, maelezo marefu ya nini, je kuna nyufa au hakuna? Maana Naibu Waziri Mkuu kasema kuna nyufa, haya maelezo ya Tanesco hayasemi lolote zaidi ya kuongelea ubora tu wa bwawa, suala la msingi tanesco hawajajibu, kuna nyufa au hakuna?

Ila bwawa likija kuleta nyufa zaidi au kupasuka Tanesco watajifunga wenyewe.
 
Kuhusu ufa uliopigwa picha kwenye kuta hamuongei chochote badala yake mnaleta ngonjera ambazo hazinahojiwa.
Acheni usanii.
 
Hawaja kanusha kuwepo kwa nyufa kwenye Kuta za bwawa kwa hiyo ina maanisha ni kweli nyufa zipo, lakini kwa jinsi mlivyo zoea kudanganya tusubirie muda utaongea vizuri, tumepigwa tena hapa 🤦🤦
Mtu anawezaje kuziona nyufa akiwa mbali na hizo kuta ??!!
 
Ni expansion joints hizo
 
Hii ni taarifa sidhani kama inafafanua suala la nyufa.
 
Mmeulizwa kuhusu nyufa mnajibu kuhusu vifaa. Mbona hivyo vifaa havijaona hizo nyufa?
Kumbukeni siku lakutokea likitokea halitabagua mke wa ofisa wa TANESCO au mke wa mkulima.
Kama Ni mtihani tayari TANESCO mmefeli kwani hamkujibu swali.
 
Jibuni swali letu sisi tunauliza nyufa nyie mnajibu vifaa vya vilivyosimikwa ndani ya bwawa. Haya achaneni na mavifaa yenu turudi kwenye nyufa nasema nyufa za bwawa alaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…