TANESCO yaahirisha zoezi la uzimaji wa mfumo wa mitambo ya LUKU kwa siku 4

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Baada ya masaa machache kutangaza wamekuja na hii tena.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) laahirisha zoezi la kuzima mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU kama ilivyobainisha saa chache zilizopita.

TANESCO wanaeleza kuwa watatoa taarifa pindi zoezi hili likitaka kutekelezwa kwa wakati mwingine.

Pia Soma: TANESCO kuzima mfumo wa ununuzi LUKU siku nne (Agosti 22 - 25, 2022)

photo_2022-08-17_15-31-16.jpg
 
Namna hii NCHI haiwezi kupiga HATUA
kimaendeleo
kuingikia maamuzi ya SHIRIKA
SHIRIKA linataka kuboresha MFUMO
then SERIKALI mnaleta SIASA katika MAMBO ya TECHNOLOGY
Mifumo ya COMPUTER kupata UPDATE ni muhimu kwa USALAMA wa DATA na kupata UFANISI
SERIKALI iache UNAA kwenye mambo ya MSINGI
Halafu TANESCO imetoa taarifa mapema na imetupa NAFASI mchana tununue USIKU ndio marekebisho
 
Daah basi tupo nyuma sana na teknolojia wapi uliona mambo yanaenda hivi eti wanazima mfumo siku nne mara siku ingine unataka kulipia TRA mnasubiri siku nzima mnaambiwa mtandao haupo sawa na ni mara kwa mara hapa pana tatizo kubwa sana...
 
Wamesubiri raid amesafiri wanataka wazime
Tuseme majaliwa amekataa faulo
 
Hii ndio sababu!!
Je Tanesco kuzima issue ya LUku hizo tarehe 22-25 ambazo ni siku za sensa hawaoni kama ni tatizo kwa nchi.

Sensa itahtaji umeme muda wote kwenye kila KATA
 
Baada ya masaa machache kutangaza wamekuja na hii tena.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) laahirisha zoezi la kuzima mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU kama ilivyobainisha saa chache zilizopita.

TANESCO wanaeleza kuwa watatoa taarifa pindi zoezi hili likitaka kutekelezwa kwa wakati mwingine.

Pia Soma: TANESCO kuzima mfumo wa ununuzi LUKU siku nne (Agosti 22 - 25, 2022)

Hakuna la Ajabu! Serikali yenyewe hubadilisha Maamuzi yake siku mbili baada ya kuyaweka e.g Teuzi!
 
Namna hii NCHI haiwezi kupiga HATUA
kimaendeleo
kuingikia maamuzi ya SHIRIKA
SHIRIKA linataka kuboresha MFUMO
then SERIKALI mnaleta SIASA katika MAMBO ya TECHNOLOGY
Mifumo ya COMPUTER kupata UPDATE ni muhimu kwa USALAMA wa DATA na kupata UFANISI
SERIKALI iache UNAA kwenye mambo ya MSINGI
Halafu TANESCO imetoa taarifa mapema na imetupa NAFASI mchana tununue USIKU ndio marekebisho
Ndugu yangu mzimu planned update nyingi za mifumo ni masaa tu tena zinafanyika usiku wa manane, tofauti na hapo ni breakdown,migration au kuhujumu uchumi tu, watatafute provider mwingine huyu ameshindwa kazi.
 
Daah basi tupo nyuma sana na teknolojia wapi uliona mambo yanaenda hivi eti wanazima mfumo siku nne mara siku ingine unataka kulipia TRA mnasubiri siku nzima mnaambiwa mtandao haupo sawa na ni mara mkuu
kama umesoma tangazo vizuri wankuambia marekebisho ni kuanzia saa 4 usiku mpk saa 1 asububuhi
kwa maana mchana mnaweza kufanya manunuzi
na wameweka siku 4 ili kupata muda wa kuufanya huduma isikosekane kabisa kuliko kuzima siku nzima bira HUDUMA

Au ndo mshazoea kwnda KIBUBUSA suddenly Huduma ya LUKU amna siku 2 nzima bila taarifa yoyote
mkuu uwe unawaza nje ya BOX wakati mwingine
MAKAMBA anazingua ndio lkn mambo mengine yanahitaji kwenda kitaalam sio kuingiza SIASA
 
Ndugu yangu mzimu planned update nyingi za mifumo ni masaa tu tena zinafanyika usiku wa manane, tofauti na hapo ni breakdown,migration au kuhujumu uchumi tu, watatafute provider mwingine huyu ameshindwa kazi.
unarudi pale pale
umesoma tangazo vizuri wamesema ni kuanzia saa 4 usiku mpk saa 1 asubuhi kwa siku 4
sio kwamba HUDUMA haitapatikana kwa SIKU 4 mfululizo
mchana itakuwepo
 
we ndo upo nyuma mkuu
kama umesoma tangazo vizuri wankuambia marekebisho ni kuanzia saa 4 usiku mpk saa 1 asububuhi
kwa maana mchana mnaweza kufanya manunuzi
na wameweka siku 4 ili kupata muda wa kuufanya huduma isikosekane kabisa kuliko kuzima siku nzima bira HUDUMA

Au ndo mshazoea kwnda KIBUBUSA suddenly Huduma ya LUKU amna siku 2 nzima bila taarifa yoyote
mkuu uwe unawaza nje ya BOX wakati mwingine
MAKAMBA anazingua ndio lkn mambo mengine yanahitaji kwenda kitaalam sio kuingiza SIASA
Mimi sijangumzia Makamba mkuu mimi naona anapiga kazi sina mambo ya kumkataa mtu bila sababu za msingi ila niliona kama Tangazo la siku nne sio masaa manne na pia kuboresha kwao waje ukinunua luku isiwe mambo ya kwenda kuweka kwenye Luku tena ukinununua iwe moja kwa moja hapo ntawaelewa wakisema wanazima hata siku kadhaa...
 
Je Tanesco kuzima issue ya LUku hizo tarehe 22-25 ambazo ni siku za sensa hawaoni kama ni tatizo kwa nchi.

Sensa itahtaji umeme muda wote kwenye kila KATA
Kwani walisema wanazima umeme?
 
Back
Top Bottom