TANESCO yaahirisha zoezi la uzimaji wa mfumo wa mitambo ya LUKU kwa siku 4

TANESCO yaahirisha zoezi la uzimaji wa mfumo wa mitambo ya LUKU kwa siku 4

Wanaupdate vipi hiyo mysql database kwa siku 4

Mbona utani umekuwa mwingi sana kwa taasisi za serikali za Tz
 
Baada ya masaa machache kutangaza wamekuja na hii tena.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) laahirisha zoezi la kuzima mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU kama ilivyobainisha saa chache zilizopita.

TANESCO wanaeleza kuwa watatoa taarifa pindi zoezi hili likitaka kutekelezwa kwa wakati mwingine.

Pia Soma: TANESCO kuzima mfumo wa ununuzi LUKU siku nne (Agosti 22 - 25, 2022)

Tangazo lao lilikuwa halieleweki na hivyo kuleta mkanganyiko mkubwa!
Nafikiri walikusudia kuandika; Luku itazimwa saa nne usiku hadi saa moja asubuhi kila siku kwa muda wa siku nne hivyo ndani ya hizo siku nne wananchi wanashauriwa wanunue luku muda wa mchana au kabla ya muda huo ili kuepuka usumbufu.
Ilikuwa ni marekebisho ya kawaida ila kilicholeta mtafaruku ni tangazo lenye makosa ya kisarufi/halieleweki!
 
Baada ya masaa machache kutangaza wamekuja na hii tena.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) laahirisha zoezi la kuzima mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU kama ilivyobainisha saa chache zilizopita.

TANESCO wanaeleza kuwa watatoa taarifa pindi zoezi hili likitaka kutekelezwa kwa wakati mwingine.

Pia Soma: TANESCO kuzima mfumo wa ununuzi LUKU siku nne (Agosti 22 - 25, 2022)

Hawa tanesco na kipara wao miyeyusho kweli! Huenda wamebadili Nia Yao baada ya kuisoma luku yangu niliyoijaza token saa moja iliyopita ili nikwepe kero za kulala Giza! Wameniharibia bajeti yangu kabisa! Kipara nitakuotesha nywele ipo siku!
 
unarudi pale pale
umesoma tangazo vizuri wamesema ni kuanzia saa 4 usiku mpk saa 1 asubuhi kwa siku 4
sio kwamba HUDUMA haitapatikana kwa SIKU 4 mfululizo
mchana itakuwepo
kwani usiku napo hakuna umuhimu,ni uzembe tu wa wataalamu wetu
 
Je Tanesco kuzima issue ya LUku hizo tarehe 22-25 ambazo ni siku za sensa hawaoni kama ni tatizo kwa nchi.

Sensa itahtaji umeme muda wote kwenye kila KATA
Akili ndogo ya Januari makamba. Na Rais analiona hili lakini hachukui hatua.
 
Namna hii NCHI haiwezi kupiga HATUA
kimaendeleo
kuingikia maamuzi ya SHIRIKA
SHIRIKA linataka kuboresha MFUMO
then SERIKALI mnaleta SIASA katika MAMBO ya TECHNOLOGY
Mifumo ya COMPUTER kupata UPDATE ni muhimu kwa USALAMA wa DATA na kupata UFANISI
SERIKALI iache UNAA kwenye mambo ya MSINGI
Halafu TANESCO imetoa taarifa mapema na imetupa NAFASI mchana tununue USIKU ndio marekebisho
Unategea wakati wa sensa. Akili ya kichwa au tundu kuu?
 
unarudi pale pale
umesoma tangazo vizuri wamesema ni kuanzia saa 4 usiku mpk saa 1 asubuhi kwa siku 4
sio kwamba HUDUMA haitapatikana kwa SIKU 4 mfululizo
mchana itakuwepo
Sijui mnaelewa maana ya usiku wa manane ? Ilipaswa iwe saa nane mpaka saa kumi usiku mwisho hata zikiwa siku nane sio mbaya.
 
Back
Top Bottom