Pre GE2025 Tanesco yadaiwa kuhujumu Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Yakata umeme Lissu akihutubia

Pre GE2025 Tanesco yadaiwa kuhujumu Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Yakata umeme Lissu akihutubia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Li lissu limekuwa jitu lakuogopesha sikuhizi!..😅
 
Ni ujinga na upunguan wa hali ya juu sana na Sijui alofanya hayo naye anatafuta cheo?.

Na usishangae kweli akapewa cheo.
 
HATUPELEKI CHAMA KWA MASHOGA - WANACHAMA WA CHADEMA

Katika uchaguzi mkuu wa kumtafuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), sauti za wanachama na wajumbe zimetanda mithili ya wingu la mvua, wakiimba kwa nguvu, "Hatupeleki chama kwa mashoga."

Wimbo huo wa aina yake, umevuma kwa kujaza hewa nzito ya msimamo katika ukumbi huo wa uchaguzi.

Wanachama hao, wakiwa na hasira za dhahiri, wamepinga kwa sauti ajenda za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja, zinazotetewa na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu.

Wamesisitiza kuwa hawako tayari kupeleka chama kwa viongozi wanaotetea vitendo vya ushoga na mapenzi ya jinsia moja kwa ujumla.

Kwa msimamo wa chuma, wameonesha kutokubaliana kabisa na ajenda hizo za kigeni, wakieleza kuwa hazina nafasi katika chama chao.

Wahenga hawakukosea waliposema, "Kila ndege huruka na mbawa zake mwenyewe," kwani tayari wanachama wa CHADEMA wameonesha msimamo wa kuzikataa mbawa za kigeni zilizoletwa na Lissu na genge lake

Kasuku
Januari 21, 2025
kutoka ukumbi wa uchaguzi, Mlimani City - Dar es salaam
 
Kuna sababu inatafutwa hapa ili baadae wakifanya ufuska wao lawama ziende kwa TANESCO.

Tulishasema uchaguzi ufanyike mchana.

Sasa nyinyi sijui mmeratibu vipi mpangilio wa ratiba yenu mpaka muda mwingi utumike kwenye maongezi huku mkijua mna wajumbe zaidi ya 1,000.

Uchaguzi ukifanyika usiku halafu kukatokea scenario yeyote ya taa kufifia au kuzimika, sisi wananchi tutachukulia jambo hilo moja kwa moja kuwa ni njama za wizi wa kura kumpitisha mgombea asiyestahili.
 
Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara

Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo.

Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator.

Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?


Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara

Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo.

Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator.

Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?

Umeme hata huku kwetu hamna na siyo leo tu
 
Huku kwetu pia unakatika na kurudi sio leo tu, hadi vifaa vinaungua, na wala hatuna uchaguzi huku
 
Hahaha acheni kulia lia, unadhani humo ndani yumo Lisu peke yake?

Mnataka kusemaje sasa, kauzima Mbowe?

Lisu anatumia nguvu nyingi ndio maana umeme unakatika, apunguze jazba.
 
Back
Top Bottom