Tetesi: TANESCO yadaiwa kusitisha malipo ya mwezi kwa IPTL na wengineo

Status
Not open for further replies.
Wamiliki Wa iptl wako ndani ya chama cha jpm
 
Tunataka watulipe hizo pesa zote tulizo kua tunawapa hao IPTL hakuma kulindana hizo zote ni kodi zetu wananchi
 
Hili PEPO linaloitwa IPTL Professor Magu akifanikiwa kuling'oa TANESCO then nitamwamini rasmi na nitampa support kwa 100%.
 
Ccm sasa itapata wapi sasa pesa ya kununulia kufia na kanga za kuwadanganyia wadanganyika? Au itakuwa funded direct from Hazina?
 
wasiwasi wangu.


BAADA YA KUSITISHA HAO JAMAA WASIJE KWENDA MAHAKAMANI NA KUSHINDA KESI KISHA TAIFA LIKAINGIA GHARAMA ZA KULIPISHWA MABILIONI YA SHILINGI. NI HAYO TU
Hicho ndicho kinafuata wala si zaidi
 
Hili PEPO linaloitwa IPTL Professor Magu akifanikiwa kuling'oa TANESCO then nitamwamini rasmi na nitampa support kwa 100%.
Sasa mbona lipumba anakula pesa zote za kubana matumizi hamthubutu kumkataza aacha kutumia pesa za walipa kodi kudhoofisha Ukawa na kuua CUF
 
Kwa hili nitaamuunga mkono , lakn sio kusimamisha bali kuvunja mkataba. Maana kusimamisha anytime wataendelea
 
Haya ndio maneno yanayotakiwa kujadiliwa hapa na sio yale ya akina Lipumba Vs Maalim ambayo hayana tija kwetu,watu wanapotalakiana haifai mtu usiyehusika kuingilia mambo ya ndoa yao
 
Hao ndio wanaoongoza uchumi wa nchi yetu na wako karibu mno na moyo kiasi kwamba ukitaka kuwatumbua ni lazima utagusa moyo. Unajua madhara ya kugusa moyo? Mimi simo!
 

Aysee!! Km ni kweli Rais wtu ana uchungu na nchi yke!! Safi saaaan,tumwombee,mm wa Kwanza
 
Not to play devil's advocate
ila wamesitisha kwa utaratibu upi? hii ya kufuata maagizo tu isije ikawacost huko mbeleni
Hivi kama sheria zimeabana kote unadhani agizo halitoshi!Au mpak ukawa waingie ikulu ndio watasitisha haya malipo??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…