TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

200% deal wuuu,
Walikuwa na haki kusema vyuma vimekaza,
Walikuwa na haki kumuajiri kigogo ili apambane kwa ajiri yao wakati wa mwendazake!
Kwani mmesikia siku hizi Wanasema vyuma vimekaza?
No no noooo Wanakula kuku kwa mrija,
kigogo nae anaelea kwenye mafuta Ana imba na kusifu!
Binaadamu tuna dhambi!
 
Hiyo ERP ina features gani special kushinda nyingine, wanatakiwa watueleze

Unaweza kudhani umeuliza jambo la maana kumbe limeonesha hujui kitu. Unataka Tanesco aje hapa kueleza features??? Hutapata hilo na sijui ni mihemko au kushindwa kujikontrol?!

Tanesco ni wazi alitoa scope of works na anataka kufanya nini. Softare designers wakajitokeza na huyu bwana kashinda tu hilo shindano!!

Laumu aina ya elimu ya nchi hii ambayo inafundisha vitu majina na haina mazingira ya uvumbuzi!! Si unaona unadhani ERP unayoijua ndio Tanesco anapaswa kuitumia pia??!! [emoji23][emoji23][emoji23]

ERP ni tailor-made! It is not a one-size-fits-all thing! Hao uliwauliza wakikujibu nishtue.
 
Cha ajabu hutasikia hata bunge likihoji huu ujinga.
 
Ma ma mae walai nchi hii, bilioni 65 tunaAZIMA(KODI) software wakati huo umeme vijiji kibao hakuna!!![emoji848]

Je tumekodi kwa muda gani!?[emoji856]

Unampaje mtu wa nje kitu adimu kama hii, maana yake huyu mfumo wetu wa tanesco atakuwa anaujua kimK..ndu mk..ndu.
Vitu vya hovyo mnoo, taifa hili, kadri wanachi tunavyojilegeza ndio wanazidi kutupapasa, hatimae watatushika makalio kabisa. [emoji35]
 
Tena hata huko IFM, UDSM , DIT umeenda mbali, hapa hapa JF mbona tupo watu tunapiga hizo kazi...mimi kwenye hiyo 69.5 billion wanipe 0.5 tu naunda timu yangu ya ushindi tena kuna wakongwe humu humu wapo wakikubali tunaungana tunatoa hiyo ERP kama wanavyotaka na kama hawaamini waseme hata kifungu cha mkataba nikishindwa wanifunge na tukimaliza kazi tunawafanyia knowledge transfer wanakuwa na control nzima ya mfumo🐒
 
Sio kwamba ufisadi ulikufa wakati wa Dikteta Magufuli, tatizo hapakuwa na vyanzo vya habari kuelezea mambo ya serikali.
Hata jamii foram ilifungwa? Magufuri alikuwa na maadui wengi kungelikuwa na ufisadi akina kigogo wasingelishindwa kuandika,acha unafiki.
 
2025
 
Waongo, ukisoma specifications za ERMS ya eGA inasema wazi kuwa ni interoperable na mifumo mingine.

Huu mkataba una harufu nzito ya Ufisadi
Hii serikali ya Samia mbona inageuka ya Kipigaji mapema namna hii kulikoni?
Halafu interoperability ni kitu ambacho kinaweza kuongezwa hata kama haikuwepo as long as hao ega ndio walioitengeneza... labda waseme mfumo wa ega haukuwa interoperable na matumbo yao
 
Huo mkataba unanuka ufisadi.

Hiyo software ingeweza kuwa developed humuhumu nchini na kuleta ajira kwa watu wetu.

Kitu walichokifanya TANESCO ni kucreate ajira kwa wahindi badala ya watu wetu
Sijawahi kusikia hapa nchini software imetengenezwa na kuuzwa hata kwa majirani zetu, au wewe umewahi sikia?
 
Na unaweza kukuta hapo wanaogopa hiyo software mpya itawaumbua na kuziba mianya yao ya kuiba mapesa.
 
Je kwenye hizo gharama kuna ukweli hapo?
 
Tuna vijana wa kitanzania wamesomeshwa vizuri mambo ya IT, walanguzi wamerudi kazini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…