johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%
Source ITV Habari
Source ITV Habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kaukweliMwaka 2025, Kuna watu watalazimika kulitaja na kukutumia Jina la Hayati Magufuli ili wapate nafasi za uongozi.
Mimi nina swali kwa wataalam.Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%
Source ITV Habari
Mvua ziendelee kuwepoKaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%
Source ITV Habari
Kwa mvua zitakazo nyesha sayari ya mars au?Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%
Source ITV Habari
Mwaka 2025, Kuna watu watalazimika kulitaja na kulitumia Jina la Hayati Magufuli ili wapate nafasi za uongozi.
Si walianza Mara Hamna Crane,, Mara injinia alikosea, Mara Magonjwa , Mara maji sio uhakika ,Mara ni tembo mweupe, Mara nn
Ipo siku watamuomba Msamaha Hayati JPM.
Haya Gesi ya Mtwara mlisema hivi hivi. Mkafikia kuifananaisha Tanzania na Urusi kwamba itauza gesi ile kwa sehemu kubwa ya Kusini mwa Africa, kiko wapi sasa?Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%
Source ITV Habari
Wewe unataka gesiHaya Gesi ya Mtwara mlisema hivi hivi. Mkafikia kuifananaisha Tanzania na Urusi kwamba itauza gesi ile kwa sehemu kubwa ya Kusini mwa Africa, kiko wapi sasa?
Hilo bwawa tuombe Mungu kusiwepo na ukame. Tutajutia hayo matrilioni yaliyowekwa hapo.Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%
Source ITV Habari
Acha uchuro!Hilo bwawa tuombe Mungu kusiwepo na ukame. Tutajutia hayo matrilioni yaliyowekwa hapo.
Hawasemi wamejipanga vipi namna ya kulijaza maji maana mito yote imekauka naona dalili za kuambiwa watachota toka bahariniKaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%
Source ITV Habari
Mkuu kwani upungufu wa umeme kwa sasa unasababishwa na nini? Si tunayo mabwawa pamoja na mitambo ya gas amabpo vyanzo hivyo vikifanya kazi kikamifu tunakuwa na excess.Acha uchuro!
Huo ukame mpaka uje ulete shida ya maji huko kwenye Bwawa wewe utakuwa ushakufa kwa kiu ? Kwahio suala la Maji ni for survival of human species hayo ya umeme ni nyongeza tu...Mimi nina swali kwa wataalam.
Maji ya kuendesha huo umeme yanatoka wapi? Ukame hauta athiri uzalishaji wa umeme?
NimekuelewaHuo ukame mpaka uje ulete shida ya maji huko kwenye Bwawa wewe utakuwa ushakufa kwa kiu ? Kwahio suala la Maji ni for survival of human species hayo ya umeme ni nyongeza tu...
Pili kumbuka Tanzania ina above average rainfall, tatu yale maji yanatumika baada ya kupita na kuzalisha umeme sio kwamba yanaliwa na mashine (ni ile potential energy) yanapoanguka kutoka juu mpaka chini ile nguvu ya uzito na kasi yake yanazungusha motor na kuendelea na safari yake..., pia kama Tanesco wangesikiliza wanaweza kutumia hii pia kama battery....
Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...www.jamiiforums.com