Tanesco yasema Ujenzi bwawa la Nyerere wafikia 77% utakapoisha tatizo la Umeme litakuwa Historia

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%

Source ITV Habari
 
Mwaka 2025, Kuna watu watalazimika kulitaja na kulitumia Jina la Hayati Magufuli ili wapate nafasi za uongozi.

Si walianza Mara Hamna Crane,, Mara injinia alikosea, Mara Magonjwa , Mara maji sio uhakika ,Mara ni tembo mweupe, Mara nn

Ipo siku watamuomba Msamaha Hayati JPM.
 
Relax, tume ya uchaguzi iko katika mikono salama [emoji16]
Mwaka 2025, Kuna watu watalazimika kulitaja na kulitumia Jina la Hayati Magufuli ili wapate nafasi za uongozi.

Si walianza Mara Hamna Crane,, Mara injinia alikosea, Mara Magonjwa , Mara maji sio uhakika ,Mara ni tembo mweupe, Mara nn

Ipo siku watamuomba Msamaha Hayati JPM.
 
Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%

Source ITV Habari
Haya Gesi ya Mtwara mlisema hivi hivi. Mkafikia kuifananaisha Tanzania na Urusi kwamba itauza gesi ile kwa sehemu kubwa ya Kusini mwa Africa, kiko wapi sasa?
 
Wewe unataka gesi
 
Kaimu mkurugenzi wa Huduma za Wateja mh Mwambene amesema Ujenzi wa bwawa la Nyerere umefikia 77%

Source ITV Habari
Hilo bwawa tuombe Mungu kusiwepo na ukame. Tutajutia hayo matrilioni yaliyowekwa hapo.
 
Mimi nina swali kwa wataalam.
Maji ya kuendesha huo umeme yanatoka wapi? Ukame hauta athiri uzalishaji wa umeme?
Huo ukame mpaka uje ulete shida ya maji huko kwenye Bwawa wewe utakuwa ushakufa kwa kiu ? Kwahio suala la Maji ni for survival of human species hayo ya umeme ni nyongeza tu...

Pili kumbuka Tanzania ina above average rainfall, tatu yale maji yanatumika baada ya kupita na kuzalisha umeme sio kwamba yanaliwa na mashine (ni ile potential energy) yanapoanguka kutoka juu mpaka chini ile nguvu ya uzito na kasi yake yanazungusha motor na kuendelea na safari yake..., pia kama Tanesco wangesikiliza wanaweza kutumia hii pia kama battery....

Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom