Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANESCO imeweka wazi sababu kuwa ni kuzimwa kwa laini 2 kubwa za umeme Kilovoti 220 kutoka Morogoro hadi Kinyerezi na Morogoro hadi Kidatu.
Baadhi ya Maeneo yatakayoathirika ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Arusha, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Mara, Simiyu, Kilimanjaro, Manyara na Songwe.
Muda ambao umeme utakatwa ni saa 1:30 Asubuhi hadi 10:30 Jioni kwa Oktoba 9, 2022 na saa 1:30 Asubuhi hadi 9:30 Alasiri kwa Oktoba 10, 2022.
View attachment 2380760
Mahospitali yana suffer sana hapa, pamoja kuwa na standby gens lakini hawana mafutaSasa wanaotumia umeme kwa kazi mbalimbali sindio tabu, dah Tanzania yangu
Preventive Maintenance hainaga mwisho..!! Ukiifikisha mwisho maana yake you are waiting for shutdown of which you will end up doing Breakdown Maintenance (BM). Usisahau, BM ina gharama...!!Haya maboresho siku yakiisha tufanye tambiko.duh!
Kabisa jana rau tumekosa umeme siku nzima wamerudisha karibia saa moja jioniKweli mkuu hawasemi ukweli hawa.
Kwenye eneo langu Rau - Kilimanjaro hatuna umeme Toka asubuhi Hadi sasa hivi...!
Mi ntaleta ng'ombe wa tambiko brooHaya maboresho siku yakiisha tufanye tambiko.duh!
SanaWakiambiwa inchi imewashinda wananuna
Tangu tar 5 umeme mchana hakuna..ni usiku tuWapiga Deal kina FEBRUARY MAROPE wapo kazini.
Walianza na Schedule Maintenance, Wakaja mitambo chakavu, wakaja maji kina kimepungua, sijui nini na nini nk.Kwa kifupi wana badilisha magoli.TANESCO imeweka wazi sababu kuwa ni kuzimwa kwa laini 2 kubwa za umeme Kilovoti 220 kutoka Morogoro hadi Kinyerezi na Morogoro hadi Kidatu.
Baadhi ya Maeneo yatakayoathirika ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Arusha, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Mara, Simiyu, Kilimanjaro, Manyara na Songwe.
Muda ambao umeme utakatwa ni saa 1:30 Asubuhi hadi 10:30 Jioni kwa Oktoba 9, 2022 na saa 1:30 Asubuhi hadi 9:30 Alasiri kwa Oktoba 10, 2022.
View attachment 2380760
Preventive maintainance karibu 3/4 ya Tanzania kwa wakati mmoja? Very insane.Preventive Maintenance hainaga mwisho..!! Ukiifikisha mwisho maana yake you are waiting for shutdown of which you will end up doing Breakdown Maintenance (BM). Usisahau, BM ina gharama...!!
Ule ujenzi ulikuwa wa kujipatia pesa tu.Halafu kwa huu ukame na mabadiliko ya tabia nchi sioni kama umeme wa maji na mabwawa utasaidia.
Inabidi wawekeze kwenye umeme wa gesi na umeme wa upepo na jua.
Hizo pesa walizowekeza kwenye bwawa wangejenga umeme $2.9 B wa upepo wangepata 2000 Megawatt za uhakika.
Au wangeendeleza miradi ya gesi. Mvua siku hizi changamoto kubwa