Nayo ni gani?Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo.
Ni kama nchi nzima labda sehem chache, wana Kigoma enzi hizo hawakuwepoNayo ni gani?
Duh.....hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme
Kenge tanesco,kenge matapeli yote. Kufeni harakaShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo.
“Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana katika maeneo yote yaliyoathirika, Shirika linawaomba uvumilivu Wateja wake wote wakati Watalaamu wetu wakiendelea na jitihada za urejeshaji wa mfumo wa Gridi ya Taifa”
View attachment 2893086
Shida nini hili shirika kimefichwa watanzania hatujui
Kama unakumbuka miezi michache iliyopita tuliambiwa sababu ya mgao ni kupungua kwa maji
Kuna harusi huko kwenu?😀😀Ila Tanesco, imagine jmos hii wanakata umeme kweli?