TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

Hapa nakubaliana na wewe, na yeye anapaswa kuwa raisi. Ila Hadi Sasa kaonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye kuzungumza na kujua mambo mbalimbali
 
Safi sana

Maana watanzania hawajui mpaka sasa wanataka nini?

Reta mgawoooo huooo

Ova
 
Reactions: nao
Sio ukame tena? Au mitambo kutofanyiwa service kwa kuogopa kufukuzwa kazi?
 
Hivi maboresho waliyokuwa wanadai wanafanya majuzi yalikuwa maboresho gani? Hadi wakamsingizia Magufuli kuhusu uchakavu wa miundo mbinu?
 
Inahusianaje? wamesema sababu ya mgao? Sio kila sababu ni hujuma au kwakua fulani hayupo!!.........................
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Wajinga ndio waliwao....hakuna kitu ambacho kinakosa sababu. Hata kutokatika umeme wakati wa JPM kulikuwa na sababu. Uzuri ni kuwa demokrasia inaruhusu kufikiria na kuamua unachotaka, ili mradi huvunji sheria. Mimi naamini kabisa JPM will be honored in the due course...muda mwalimu mzuri sana
 
Umeanza mapambio mwishoni ukajishtukia kua hakuna aijuaye kesho.Hayo yakusemea viongozi muda wakuongoza ni ujinga.Yeye atimize wajibu wake nasisi wananchi tutimize wajibu wetu.mambo yakipambe yakuamulia wananchi nakumpangia Mungu muache.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mwezi wa kwanza Marope ana mikwala, mara "wafanyakazi walikuwa hawafanyi kazi kwakuwa walikuwa wanakalipiwa......",mara hoo "umeme ulikuwa haukatiki kipindi cha nyuma sababu walikuwa hawafanyi SCHEDULE MAINTENANCE..",ngojera nyingi vitendo hamna.

Namuonena huruma mama kwani sasa ni ukoo gang naona atamuonea huruma kumtoa rafiki yake Kigogo.
 
Kila Kiongozi aliyepita anakumbukwa na jamii flani ya waTanzania kwa mazuri na mabaya yake, si yeye tu wote waliopita....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…