Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Katika comment yangu ya awali niliuliza, yawezekanaje OC CID kutoa dhamana kesi kubwa kama hiyo pale Tanga mjini bila RCO/RPC kujua? Baada ya huu Moto mtakubaliana Nami kwamba OC CID alitolewa Kafara, kuna watu juu yake.23 October 2022
Tanga, Tanzania
Moto Wateketeza Ghala la Kuhifadhia Magendo , RC wa Tanga Afika Eneo la Tukio
Changamoto kibao zilijitokeza kwani funguo hazikupatikana la ghala kwa wakati. Ikabidi ukuta kuvunjwa ...
Source : millard ayo