Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

23 October 2022
Tanga, Tanzania

Moto Wateketeza Ghala la Kuhifadhia Magendo , RC wa Tanga Afika Eneo la Tukio
Changamoto kibao zilijitokeza kwani funguo hazikupatikana la ghala kwa wakati. Ikabidi ukuta kuvunjwa ...
Source : millard ayo
Katika comment yangu ya awali niliuliza, yawezekanaje OC CID kutoa dhamana kesi kubwa kama hiyo pale Tanga mjini bila RCO/RPC kujua? Baada ya huu Moto mtakubaliana Nami kwamba OC CID alitolewa Kafara, kuna watu juu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…