Tanga: Afisa wa TRA ajirusha ghorofani na kufariki

Hii habari ina ukakasi sana, ukute karushwa na watu ambao aidha walimuwinda kwasababu ya masuala ya kodi au kuna watu wamepiga hela nyingi kwa jina lake wakaamua kumu- eliminate
Hzi Dili ukiwa mzalendo ni lazima wakurushe.
We Kama ni mzalendo achana na kazi za vitengo kuzibia watu kupiga kafanye kazi ya ualimu au jeshi.
Huko utaendana sawa na uzalendo wako.
Watu wanawaza v8 halafu wewe kikwazo utapisha njia lazima
 
Yesu alishanukuliwa kwenye biblia akisema hao wanatangulia:

Mt 21:31 SUV​

Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
 
Mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…