Tanga: Afisa wa TRA ajirusha ghorofani na kufariki

Mi nahisi jamaa ameuliwa na wenzake wa tra ama amepotezwa na wafanyabiashara .. kuna dili alikuwa anakwamisha

Hii yawezekana mkuu kabisa Yaani mara nyingi inakuwa hivyo,

Mfano mmoja Kule pande za Kawe beach karibu na nyumba Assas, kuna mtu aliuwawa (beach boy) Huyu jamaa kila siku alikuwa anasema speedboat zinakuja usiku hapa kila week na Kwa kuwa yeye alikuwa analala pale ufukweni Basi siku zikapita na jamaa alikuwa anazidi kuropoka Basi alikutwa amekufa na wakasema amezama katika maji, Ila aliuwawa Kwa Sababu alikuwa anaongea ongea kuhusu biashara za watu hasa wanaotumia bandari bubu
 
zumbemkuu huyu ni Nani?
 
Hzi Dili ukiwa mzalendo ni lazima wakurushe.
We Kama ni mzalendo achana na kazi za vitengo kuzibia watu kupiga kafanye kazi ya ualimu au jeshi.
Huko utaendana sawa na uzalendo wako.
Watu wanawaza v8 halafu wewe kikwazo utapisha njia lazima
Watu hawana mzaa kwenye hela๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito
 
Kama serikali ingekuwa inathamini uhai wa raia wake, tangu yule MC aliyeanguka ghorofani pale Makumbusho na vifo vingi vya kujiua ingekuja na working plan kupitia maafisa ustawi wa jamii on anger and stress management.

Nahisi hivi vifo siyo voluntary. Aina mpya ya redundancy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ