Tanga: Auawa kwa kuchomwa kisu, inadaiwa chanzo kumuomba maji ya kunywa aliyefunga

Tanga: Auawa kwa kuchomwa kisu, inadaiwa chanzo kumuomba maji ya kunywa aliyefunga

kwani wakristo wanaoua kwa sababu mbalimbali huwa hawafundishwi kwamba mauaji ni haramu?
Don't take it personally,ni haramu lakini zisiwe sababu za kipumbavu zitokanazo na amri za imani.

Nisome kwa umakini sikutaka mabishano nimesisitiza viongozi wa dini husika kama wapo ambao ni makini wawafundishe waumini namna njema ya kutenda mambo yahusuyo dini na yasiyohusu dini,hata kama sababu zikawa siyo tajwa hapo juu kitendo cha yeye kufanya mauwaji kwenye mwezi huu unaosemwa ni mtakatifu huyo hajui au hawajui wanachokiabudu.
 
Jeshi la Polsi Mkoani Tanga linamshikilia Hassan Nyundo (25) Mkazi wa Kijiji cha Vue kata ya Mowa Wilayani Mkinga kwa tuhuma za kumchoma kisu Amiri Mohamed (30) huku ikidaiwa kwamba sababu moja wapo ya ugomvi ni kitendo cha Amiri kumuomba maji ya kunywa wakati akifahamu kuwa Hassan amefunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Akiongea na @ayotv_, RPC wa Tanga Henry Mwaibambe amesema kuwa 05/04/2023 majira ya saa sita mchana Amiri na Mtuhumiwa walikuwa wakiishi nyumba moja hivyo hadi mauti yanamkuta Amiri alimshinikiza Mtuhumiwa kumpatia maji ya kunywa kitendo kilichomchukiza Hassan (Mtuhumiwa) na kusababisha ugomvi uliopolekea kumchoma kisu kulikosababisha kufia njiani wakati kiwaishwa Hospitali.

Kamanda Mwaibambe amesema hadi sasa kuna taarifa mbili juu ya tukio hilo ambapo wengine wanasema Mtuhumiwa alichukizwa na kitendo cha Amiri kumuomba maji pamoja na kunywa maji wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani lakini wengine wanasema ni ugomvi wa kawaida.

“Kwakweli hadi sasa chanzo kamili cha tukio hilo bado hakijajulikana kwani hawa wawili ni ndugu waliokuwa wakiishi nyumba moja, ni mauaji ya kusikitisha sana haiwezekani ugomvi wa maji tu unachomoa kisu una mchoma mwenzako, kwakweli huu ni mmomonyoko mkubwa wa maadili”
 
Kuna mwingine akiwa kwenye mfungo sio kwamba anajiona yeye ni muislamu tu anajiona yeye ni mwarabu tena mwarabu toka Saudi Arabia. Unamuua mwafrika mwenzio kisa dini ya waarabu
warabu ni watu fulani powa sana,huwa hawana imani hizi za kipuuzi,ukikutana na warabu wa Tandare kwa Tumbo sasa !!!
 
Huyo Kamanda wa Polisi mbona anaongea kwa busara na hekima kubwa sana huku akionyesha kusikitishwa na hili tukio?
Jamaa ni msikivu sana,na ana utu sana! Alafu ni kipande Cha Mtu,nilishapitaga kwa office yake pale Tanga police Mkowani!!!
 
Narudia kusema hv, Waislamu wote duniani ni wapumbavu, magaidi, wabakaji.
 
Back
Top Bottom