Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Tanga ni mkoa wa 5 kwa uchumi na uchumi wake hauja tofauti ana sana na mkoa wa 4 kiuchumi (Arusha), imepitwa na Dar, Mwanza na Mbeya.

Mikoa iliyoipita Tanga Mbeya na Mwanza ni mikoa ambayo kwenye kanda zake inategemewa, Mwanza inabeba Uchumi wote Wa lake zote, na Mbeya Uchumi wa Kusini.

Kwa situation ya sasa ni fair, kwa hio position ya Tanga, ila ni kweli inaweza fanya vizuri zaidi, tatizo kubwa ni serikali kutopeleka Bajeti ya kutosha, Ukiangalia Bajeti ya jiji la Tanga na kiasi inachoingiza kwenye pato la Taifa ni mbingu na Ardhi, hio barabara tu ya Tanga - Dar kila siku tunapewa promise haijengwi.
 
Tuombe Mungu,kuna siku itakumbukwa
 
hayo mandeleo yanatoka wapi wakati vijana kwa wazee wanashinda kwenye vijiwe vya story na bao
Wavivu hao watu hatari
Kama Tanga ni Wavivu kuna haja kuwe na kampeni ya kuwa fanya watu wawe wavivu zaidi.

1. Tanga ni mkoa wa 4 nchi hii kulipa kodi zaidi

2. Tanga ni mkoa wa 5 nchi hii kuchangia mapato

Nyie ambao sio wavivu mmechangia nini?
 
Correction.

Ulitakiwa kuwa hata wa Kwanza kiuchumi.

Ukifuatilia Dar ni port city tu kama mombasa. Ila haina natural advantage yoyote nyingine, si rasilimali wala hali ya hewa iliyoifanya kuwa kubwa zaidi ya serikali kuirundikia vitu vyote haswa kiutawala.

Tanga ilikuwa na reli, viwanda, mkonge, mpaka na kenya na pia ipo karibu zaidi na Uganda kuliko dar..

Ina ardhi nzuri ya kilimo, bandari na vivutio vya utalii kama amboni, saadani etc

Kiufupi Dar ni mji uliotengenezwa na Serikali. Nimeshukuru kuona Dodoma imechukuliwa serious, japo ni pakame lakini pataleta decentralization
 
Back
Top Bottom