Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Ukiangalia yale mapori yaliyopo ilipopita barabara ya Mombasa - Tanga mtu unaweza ukajiuliza sana hawa watu wa Udigoni wanashida ganii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuja kula nyumbani kwenu?!Tanga ni wavivu sn
Hujatembea sehemu nyingine Tanzania uliyoona mapori zaidi ya Tanga?!Ukiangalia yale mapori yaliyopo ilipopita barabara ya Mombasa - Tanga mtu unaweza ukajiuliza sana hawa watu waUdigoni wanashida ganii.
Tanga Haina chochote Cha kufanya iwe namba 2 Kwa Tanzania.Tanga ni mkoa wa 5 kwa uchumi na uchumi wake hauja tofauti ana sana na mkoa wa 4 kiuchumi (Arusha), imepitwa na Dar, Mwanza na Mbeya.
Mikoa iliyoipita Tanga Mbeya na Mwanza ni mikoa ambayo kwenye kanda zake inategemewa, Mwanza inabeba Uchumi wote Wa lake zote, na Mbeya Uchumi wa Kusini.
Kwa situation ya sasa ni fair, kwa hio position ya Tanga, ila ni kweli inaweza fanya vizuri zaidi, tatizo kubwa ni serikali kutopeleka Bajeti ya kutosha, Ukiangalia Bajeti ya jiji la Tanga na kiasi inachoingiza kwenye pato la Taifa ni mbingu na Ardhi, hio barabara tu ya Tanga - Dar kila siku tunapewa promise haijengwi.
Sawa ila mapato yanatoka zaidi mpakan na bandarini ambapo shughuli za wananchi ni chache.Kama Tanga ni Wavivu kuna haja kuwe na kampeni ya kuwa fanya watu wawe wavivu zaidi.
1. Tanga ni mkoa wa 4 nchi hii kulipa kodi zaidi
Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023
Kutoka kwenye takwimu za Mapato ya Kodi za TRA yaani Regional Tax Statistics za mwaka 2023/2024 zimebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia Mapato makubwa ya Kodi Kwa mwaka 2023. Uchambuzi wa awali nilioufanya umebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia zaidi Mapato ya Kodi ya kuanzia Bilioni 60 na...www.jamiiforums.com
2. Tanga ni mkoa wa 5 nchi hii kuchangia mapato
Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania
Kwa Mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2023 kutoka Kwenye Chapisho la Tanzania in Figures 2023 Limebainisha masuala kadhaa ya takwimu za msingi za Nchi. Moja kati ya takwimu hizo ni Mchanganuo wa Uchumi wa Kila Mkoa Kwa Tanzania Bara. Kwa Mujibu wa Takwimu hizo , imebainisha Mikoa 10 ambayo...www.jamiiforums.com
Nyie ambao sio wavivu mmechangia nini?
Ukweli mchunguWanakuja kula nyumbani kwenu?!
Nani anawanunulia chakula?!
Au ulishasikia serikali inapeleka Tanga chakula cha msaada?!
Na kama iko nyuma kiuchumi kwanini ikapewa hadhi ya jiji tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000?! Unajua kuwa Moshi wanaomba manispaa ipewe hadhi ya jiji na hadi Leo serikali inawazungusha kwakuwa vigezo haviridhishi?!
Tanga ni moja ya manispaa chache hapa Tanzania zilizogeuzwa na kupandishwa hadhi ya kuwa jiji, je unaweza kujiuliza ni kwanini?Ukiangalia yale mapori yaliyopo ilipopita barabara ya Mombasa - Tanga mtu unaweza ukajiuliza sana hawa watu wa Udigoni wanashida ganii.
Ndio nimemwambia hata Mimi ndio sababu huo Mkoa watu wake Wana manyumba ya mabanda maana hawana helaSawa ila mapato yanatoka zaidi mpakan na bandarini ambapo shughuli za wananchi ni chache.
Wapi hakuna pori Nchi hii?Hujatembea sehemu nyingine Tanzania uliyoona mapori zaidi ya Tanga?!
Siasa uchwara.Huo mkoa unaachawa wengi sana Serikalini.Tanga ni moja ya manispaa chache hapa Tanzania zilizoheuzwa na kipandishwa hadhi ya jiji, je unaweza kuniuliza ni kwanini?
Majiji hapa Tanzania ni Daressalaam, Mwanza, Arusha, Tanga na mbeya basi! Kwanini Moshi, Shinyanga, Songea, Sumbawanga nk hawakupewa hadhi ya jiji badala yake ikapewa Tanga?!
Hata mimi namshangaa huyo jamaa aliyeshangaa mapori yaliyopo njia ya Mombasa kutokea Tanga.Wapi hakuna pori Nchi hii?
Eh unachekesha kwa kweli!Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Hoja ya kipuuzi sana!.Siasa uchwara.Huo mkoa unaachawa wengi sana Serikalini.
On top of that sio tuu kwamba ni Jiji uchwara lakini Hako kamkoa ka machawa kamemegwa Vihamlashauei vingi sana vya Kisiasa ambavyo viko hoi kiuchumi Ili tuu kuendelea kupendelea machawa.
Halafu wakitoka vijiweni na kwenye bao wanakuja kula nyumbani kwako?!hayo mandeleo yanatoka wapi wakati vijana kwa wazee wanashinda kwenye vijiwe vya story na bao
Moshi inanyimwa kwa sababu za kisiasa, huwezi kulingana Moshi na Tanga, Tanga ni pahovyo snWanakuja kula nyumbani kwenu?!
Nani anawanunulia chakula?!
Au ulishasikia serikali inapeleka Tanga chakula cha msaada?!
Na kama iko nyuma kiuchumi kwanini ikapewa hadhi ya jiji tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000?! Unajua kuwa Moshi wanaomba manispaa ipewe hadhi ya jiji na hadi Leo serikali inawazungusha kwakuwa vigezo haviridhishi?!
Wanakula nyumbani kwako?! Nguo wanazovaa wanapewa na nani?Wavivu hao watu hatari
Ona huyuMoshi inanyimwa kwa sababu za kisiasa, huwezi kulingana Moshi na Tanga, Tanga ni pahovyo sn