BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Ninamashaka na uelewa wako kwenye mikoa ya hii nchi.Huko kwingine hakuna machawa Wala sio swala la ajabu,Hako kamkoa kuna kipindi wabunge wake 7 walikuwa Mawaziri na imekuwa hivyo miaka Mingi tuu (uchawa).
Mfano mzuri wa uchawa mwingine ni Pwani nayo Ina mawaziri Rundo ndio maana saizi wameanza kujipa hadhi ya Manispaa sijui Mji na upuuzi mwingine kisa uchawa.
By the way Tabora na Morogoro Ina vigezo zaidi vya kuwa Jiji kuliko Tanga.
Mwisho Majiji mengine uliyoyaa Yana sifa na vigezo kuanzia idadi ya watu,Mapato na Ukubwa wa Uchumi
Tanga ukaiweke hadhi sawa na Tabora?
Embu punguza mihemko inaonekana hii nchi huijui wewe.
Tanga kuanzia idadi ya watu, makusanyo ya mapato huwezi ilinganisha na hiyo mikoa .