Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 2,278
- 3,960
We mlafi tu 😆😆Sema Tanga Wana jua kupika aisee, nili kuwa nakula Mara tatu Tatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mlafi tu 😆😆Sema Tanga Wana jua kupika aisee, nili kuwa nakula Mara tatu Tatu.
Sababu gani?Uvivu una sababu
Moshi inanyimwa hadhi ya jiji kwa sababu za kisiasa tufanye ni kweli!.Moshi inanyimwa kwa sababu za kisiasa, huwezi kulingana Moshi na Tanga, Tanga ni pahovyo sn
Hoja yako haina mashiko, Tanga ina bandari, pia Tanga ya siku nyingi huwezi linganisha na miji tajwa hapo juu.Moshi inanyimwa hadhi ya jiji kwa sababu za kisiasa tufanye ni kweli!.
Je Musoma, Bukoba, Shinyanga, Kigoma, Songea , Tabora na Singida pia wamenyimwa hadhi ya jiji kwa sababu za kisiasa au hao nao ni wavivu kama watu watanga vile mnavyodai na wameshindwa kuwa machawa kama watu wa Tanga ili wapewe hadhi ya jiji?!
Tulia mkuuOna huyu
Huko kwingine hakuna machawa Wala sio swala la ajabu,Hako kamkoa kuna kipindi wabunge wake 7 walikuwa Mawaziri na imekuwa hivyo miaka Mingi tuu (uchawa).Hoja ya kipuuzi sana!.
Kwahiyo Shinyanga, Tabora, Singida, Sumbawanga, Kigoma na musoma hakuna machawa?!
Na je Dodoma , Mwanza , Arusha na Mbeya pia ni machawa ndiyo maana walipata hadhi ya jiji?!
Moshi Ina sifa zipi za kuwa Jiji na wewe mwanakijiji ?Moshi inanyimwa hadhi ya jiji kwa sababu za kisiasa tufanye ni kweli!.
Je Musoma, Bukoba, Shinyanga, Kigoma, Songea , Tabora na Singida pia wamenyimwa hadhi ya jiji kwa sababu za kisiasa au hao nao ni wavivu kama watu watanga vile mnavyodai na wameshindwa kuwa machawa kama watu wa Tanga ili wapewe hadhi ya jiji?!
Musoma, Bukoba, Shinyanga, Tabora na Songea sio mikoa ya siku nyingi?!Hoja yako haina mashiko, Tanga ina bandari, pia Tanga ya siku nyingi huwezi linganisha na miji tajwa hapo juu.
Kuna mtu mmoja kachangia kwamba Moshi inanyimwa hadhi ya jiji kwa sababu za kisiasa ndio nikamuuliza hiyo mikoa mingine kama Musoma na Bukoba pia wamenyimwa hadhi ya jiji kwa sababu za kisiasa?!Moshi Ina sifa zipi za kuwa Jiji na wewe mwanakijiji ?
Hako kamji hakana Mapato wala watu wa kutosha ndio Kawe Jiji? 😂😂
Upcoming Majiji ni Morogoro na Tanga kidogo Iringa na Kahama
Maskini Tanga, Lindi na Tabora baada ya mjerumaniMkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Tanga Haina hadhi ya Jiji ni porojo za uchawa tuu.Kuna mtu mmoja kachangia kwamba Moshi inanyimwa hadhi ya jiji kwa sababu za kisiasa ndio nikamuuliza hiyo mikoa mingine kama Musoma na Bukoba pia wamenyimwa hadhi ya jiji kwa sababu za kisiasa?!
Hoja yangu ni kwamba watu wanaosema kwamba watu watanga ni wavivu siyo kweli.
Mji wa watu wavivu hauwezi pewa hadhi ya jiji?!
Lakini hiyo Miji ilififia baada ya Serikali kuchukua hela za huko na kwenda kujenga Dar .Maskini Tanga, Lindi na Tabora baada ya mjerumani
tu kufurushwa Tanganyika, Mikoa hii ikaanza kujifia... Huwezi amini Tabora iliwahi kuwa na pesa yake Enzi za utawala wa mjerumani.
Musoma, Bukoba na songea hizo ni wilaya sio Mikoa. Rekebisha.Musoma, Bukoba, Shinyanga, Tabora na Songea
Ww unafkr nn kimefanya Tanga isiwe ya pili kiuchumi?Mkoa umebarikiwa kila kitu
Sijui wagosi wanafeli wapi
Unachekesha sana.Tanga Haina hadhi ya Jiji ni porojo za uchawa tuu.
Jiji gani halina watu wa kutosha kama Moshi?
Vyote ni Vimji uchwara vya Kisiasa tuu japo Tanga Ina nafuuUnachekesha sana.
Mimi Tanga nimeishi miaka 9.
Na muda huu napoandika maneno haya nipo Moshi mjini!
Nimeishi Moshi kabla ya Tanga 2001 hadi 2004 nilikuwa Moshi mjini.
2005 hadi 2014 nilikuwa Tanga mjini.
Halafu 2019 hadi 2021 Moshi mjini.
Halafu 2024 hadi sasa nipo Moshi mjini.
Tanga ninalijua na Moshi ninaijua.
Moshi kwa Tanga ni mtoto mdogo sana haiifikii hata nusu !.
Inayofuata kuna shehe wa arubadilNyumba mganga, nyumba mchawi, nyumba shoga.