nyakyusa
Member
- Sep 13, 2022
- 60
- 90
hawa jamaa wana ndugu yao anaitwa emmma hapa gerrezani k/koo anaendela kujenga gorofa bila kujali msiba na bar yake haijwafugwa jmn hii hatariKaka Mshana Jr naanza sasa kuamini haya maneno yako. My cousin anaishi Korogwe, wamehudhuria kuaga hapo. Anasema kwamba hii familia walishapata ajali wakiwa wanasafirisha msiba hivyohivyo, wakafariki watu 4 wa familia moja.
Pia wakasema Marehemu, waliemsafirisha alitaka azikwe Dar. Wengine wakasema huenda wanapuuzia kufanya mila. Hayo yanasemwa ila kifo ni fumbo kubwa sana.