G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Marehemu kapata ajaliMarehemu nae kapata ajali aisee..!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu kapata ajaliMarehemu nae kapata ajali aisee..!?
Mzee bila njia za highway kuwekwa kwa mfumo kama wa Ubungo-Mbezi ajali zitaendelea kuua sana kwa head on head collisions. Hii ndio solution.Rudia tena kwa herufi kubwa.
Yote ni hakika ila suluhu ni highway ijengwe kama Ubungo-Mbezi. Ajali zitapungua by 80%Barabara zetu ni nyembamba
Barabara zetu ni giza
Barabara zetu zina viraka au mashimo
Magari mengi ya mizigo hayana Taa nzuri
Magari mengi ya mizigo huendeshwa na watu wasiojali gari au watumiaji wengine wa barabara
Madereva wengi wa magari (Binafsi, Mizigo, Umma) wanaendeshwa kwa mazoea.
Madereva wengi wa Coaster hutumia vilevi
Jamaa kaomba serikali iwasaidie kuzika maana msiba hawauwezi tena.Na hao wengi ukute nao ni wana ndugu wa karibu, sa majeneza mbona watanunua mengi sana.
Fuso ikiwa inawahisha mzigo dar ni hatari kuliko kujulikana una hela mbele ya polisi usiku
Ziko za siti 29.Poleni mno wafiwa,...Coaster ibebe abiria 26+jeneza mmmmmm hii Coaster haikua overloaded?
Sio magari kuongezeka mkuu halafu huko highway wala magari si mengi kama mjini hapa. Shida ni barabara zetu zilivyo ndio zinapelekea ajali. Huwezi kumchunga dereva kwa kujaza askari barabarani.Hizi ndo sababu za ajali nyingi Kwa Tanzania na Africa Kwa ujumla , magar yanaongezeka kila sku miundombinu Ile Ile ,
Ndomana ikitokea ajali kama hiyo vyombo vya ulinzi na uokoaji zinatakiwa kufika haraka sana eneo la tukioYanni hawa ni wa kuwakemea mno, wamewaibia hadi waliokuwa kwenye coaster ya pili waliokuwa wanatoa msaada kwa majeruhi, simu na fedha, hakii nimeumia mno sijui wana roho za namna gani aarghhhh
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Marehemu kaondoka na watoto wake dah ni hatari sanaWatoto wa marehemu wamefariki. Ni kijiji jirani na kwetu[emoji26]
Kwahizi barabara zetu hata ukiwa makini kufa ni chap.Kuendesha gari kwa uangalifu, makini na kufuata sheria za baravarani siyo kwausalama wako tu bali pia kwa usalama wa wengine wanaotumia barabara.
Inahuzinisha maisha kupotea kea uzembe na uchoyo.
Mungu awarehemu
Coaster lazma iwe speed, usicheze na 1HD-T Cable 🤣🤣🤣Huu msafara wa Msiba nilikutana nao Jana Saa 9.05 alasiri pale Madale Kituo Cha Polisi,Kulikuwa na Coaster mbili zimeongozana,hii coaster iliyobeba mwili wa marehemu ilikuwa mbele na nyingine ikifuata nyuma!!,Kiufupi hizi Coaster zilikuwa Spidi Sana!!,
Hapa unamaanisha nini , sijakuelewa. Marehemu hakuwa tayari kusafirishwa au hakupenda mtu awepo ?Coaster iliyokuwa imebeba mwili wa marehemu na abiria 26 Ikitokea Dar es Salaam Kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.[emoji848][emoji2827]
Marehemu hakuwa tayari kusafirishwa? Ama kuna mtu hakupenda awepo kwenye msafara?
Yule mbuzi alikua anaendesha ile gari kama ni sehemu ya wanayoyaunda magari hapa duniani.Jamaa alikuwa ana overtake kipuuzi bila shaka
Kwa taarifa Coaster ndio iliovateki. Watu wazembe hata uwawekee dual carriageway wataua tu.Mzee bila njia za highway kuwekwa kwa mfumo kama wa Ubungo-Mbezi ajali zitaendelea kuua sana kwa head on head collisions. Hii ndio solution.
Njia nyembamba watu wanafosi ku overtake kishenzi. It killed innocent souls. Huyo dereva wa Fuso atakuwa alikuwa anatanua kwenye down asijue kuna mtu anakuja upande wa pili huko.
Coaster alitanua bila tahadhari?Kwa taarifa Coaster ndio iliovateki. Watu wazembe hata uwawekee dual carriageway wataua tu.
Kwa mujibu wa taarifaCoaster alitanua bila tahadhari?
Dereva wenu alijiongeza ila pia mshukuru mlikuwa hata na sehemu ya kubana. Maana sisi kuna siku gari ilipasuliwa kioo cha nyuma na taa.Kaka sidhani kama ndivyo..ni uzembe tu wa madereva..Sisi wenyewe tuliwahi koswa na fuso mwaka Jana mwezi wa sita MITA kama hiyo tulikuwa tunamsafirisha mwili..pona yetu dereva wetu alikuwa yuko smart na anawafahamu vizuri madereva wa fuso..baada ya kuukwepa huo mtego nilimuuliza alijuaje..
Akaniambia hawa madereva wa fuso wanatakiwa fika sokoni kabla ya saa 11 asubuhi Ili mzigo uuzike..so usiku lazima wakimbie Sana..aliwaona wakiwa wa nafukuzana..wa nyuma alitaka kuovertake hapo maeneo ya korogwe ..kutuona akarudi site yake..ila dereva akasema huyo amerudi tu kwa mshtuko ila najua Hana breki za kumzuia kumvaa wa mbele yake alikuwa yuko kibati..so hatakuwa na jinsi Zaid ya kutoka tena liwalo na liwe..maana ni either amvae mwenzake au atoke upambane nae .ndio maana nikaamua punguza mwendo na kukaa pembeni..Na kweli ndicho kilichotokea.ina maana dereva angejisahau baada ya kumuona amerudi site yake..yangetukuta.
Rai kwa wanaoendesha usiku..jamani kuweni makini sana
Maana nlichosoma wanadai fuso ndio ilitanua, ila trust me separator muhimu sana sababu hamna mtu atakuingilia site. Watakimbizana wenyewe tu.Kwa mujibu wa taarifa
Ee umewasagia kunguni sanaKuanzia wami kwenda mbele
Vijiji vingi wanaishi wezi tu hapo
Kuna wezi wanaiba magari ya mafuta,magari ya mizigo,mataili nk
Hiyo njia haifai kabisa.
Ova