mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nawajuwa watu kama wawili wanaishi huko,kuna wakati nlipita huko nkaenda wasabai nkawabana[emoji23][emoji23][emoji23] dah, wako makini mno na kazi yao aiseee. Nawakubali. Inawezekana kbs ni vibaka hawa. Na kweli mtu na akili timamu itaishi vipi mitaa ile[emoji23][emoji23]
Hku mnafanya mishe gani mnalima,mnafuga wako ahaa
Nkajuwa ah watu wa michezo wanaiba magari mizigo,bidhaa nk
Kuna vijiji ndani huko hakuna madem madume tupu na wote weziii tu
Ukienda sehemu zao unakuta wana masukari, mataili ya magari mapya,betri za magari magodoro
Yaani vurugu tupu huko [emoji1]
Alafu wana style usiku wana mwagq mafuta ya kula barabarani gari zikipita
Zitereze [emoji1]
Siku itokee polisi wapige operation huko utaona wakatavyo kutana na mambo [emoji1]
Huko ukienda sukari unaweza uziwa hata kg1 1000 [emoji1]
Inshort hapafai na jamaa wale makatili kweli ujue
Ova