Kingdom Finder
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,119
- 1,391
Mungu awape nguvu wafiwa. Hapa sina cha kusema. It is so sad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivoo...hata mimi kuna mtu ananiambia ni huko soko la Mangulwa kwa juu...ila Wapumzike kwa amani 😔Lakini hawa ni wa mokala. Huko ubaa kivipi
Yes. Ni jamaa zetu. Ndo maana nimeshangaa. Na najua watoto wa marehem ni wawilo waliofariki huyu kasema watatu. Ndo niliposhindwa kuelewa. Mokala ni mto umetutenganisha. Ila ni majamaa kabisa hujumuika. Lakini yawezekana ubaa huko kuna mrema pia maana ni ukoo mkubwa. Kuna kelamfua pia mrema ipo kubwa sana. Ni barabara tu zinatenganishaHivoo...hata mimi kuna mtu ananiambia ni huko soko la Mangulwa kwa juu...ila Wapumzike kwa amani [emoji17]
Kijiji cha Ubaha. Unashuka posta ya zamani unaelekea shule ya ubaha unafika sehemu panaitwa maviloni. Hapo unaweza uliza ukaelekezwa. .
au unashuka kiboro unapanda mpaka ukute njia panda then hapo unauliza. .
Tukio likishakuwa kubwa misinformation ni nyingii...yote hii ni kwasababu ya kukosekana taarifa za uhakika kwa haraka.. anyway pole nyingi sana kwa wafiwa.Yes. Ni jamaa zetu. Ndo maana nimeshangaa. Na najua watoto wa marehem ni wawilo waliofariki huyu kasema watatu. Ndo niliposhindwa kuelewa. Mokala ni mto umetutenganisha. Ila ni majamaa kabisa hujumuika. Lakini yawezekana ubaa huko kuna mrema pia maana ni ukoo mkubwa. Kuna kelamfua pia mrema ipo kubwa sana. Ni barabara tu zinatenganisha
Hivi ukivuka ule mto pale kiboro kwenda mbele ni mashati ama mkuu? Mrema imeanzia hapo mto nana kupanda huko juu mokala na kelamfua na jirani kwa masista japo na kungine ipo. So ni mkuuKwa hiyo itakuwa ni maeneo ya Rombo -Mkuu.
Yes dearTukio likishakuwa kubwa misinformation ni nyingii...yote hii ni kwasababu ya kukosekana taarifa za uhakika kwa haraka.. anyway pole nyingi sana kwa wafiwa.
Kwa kawaida coaster zikiwa zinatoka Dar es Salaam, especially zikiwa zinakwenda mikoa ya kaskazini huwa zinakimbia sana wakati zinatokaHuu msafara wa Msiba nilikutana nao Jana Saa 9.05 alasiri pale Madale Kituo Cha Polisi,Kulikuwa na Coaster mbili zimeongozana,hii coaster iliyobeba mwili wa marehemu ilikuwa mbele na nyingine ikifuata nyuma!!,Kiufupi hizi Coaster zilikuwa Spidi Sana!!,
Hivi ukivuka ule mto pale kiboro kwenda mbele ni mashati ama mkuu? Mrema imeanzia hapo mto nana kupanda huko juu mokala na kelamfua na jirani kwa masista japo na kungine ipo. So ni mkuu
Mwambwaro mtombwaro.sasa nibishane na divisheni zero s ntakuwa kichaa
Laana ya tunda la maskharaDaah poleni sana ndugu zangu wa Moshi...!! Msiba juu ya msiba yani unashindwa hata kuliaa unabaki unashangaa tuu... Mungu awatie nguvu sana
Nulishawahi kusema sana humuRais amesema wanagharamia msiba. Watu wameeaibia wafiwa eneo la ajali. Binadamu sisi ni wakatili sana
Wanawahi hotelini pia maana vyakula huisha sometimes kama hawajatoa order. Wengine hawanaga uzoefu na hizi misheKwa kawaida coaster zikiwa zinatoka Dar es Salaam, especially zikiwa zinakwenda mikoa ya kaskazini huwa zinakimbia sana wakati zinatoka
Sababu huwa ni kukwepa folen wanayokutana nayo kuanzia mwenge mpaka Bagamoyo
Ila baada ya hapo mwendo huwa wa kawaida na kawaida yao ni lazima wapumzike Msata, Mkata , Mombo na Njia Panda
Ni sahihi nilichoandika mkuu. Ukitoka kijiji chetu ndo vinafata hivyo. Wote ni mkuuTusubiri Wenyeji waje wakujibu maana mie sifahamu vizuri @ Dear.
Mie najua yale maeneo Mainly kama vile Mkuu, Mashati, Tarakea, Mrao, Kerio, Useri, Mamsera vijiji vya ndanindani sivijui.
Watani zetu wametukomesha[emoji23][emoji23] **** siku tuko na basi pale wami tukaparamia korongo. Kuna kenta ikamimina vibaka pale dk 10 nyingii[emoji23] ila walikuta kila mtu amebeba mizigo yakeNulishawahi kusema sana humu
Hiyo njia ya tanga kuna wezi balaa
Ova
Kuanzia wami kwenda mbeleWatani zetu wametukomesha[emoji23][emoji23] **** siku tuko na basi pale wami tukaparamia korongo. Kuna kenta ikamimina vibaka pale dk 10 nyingii[emoji23] ila walikuta kila mtu amebeba mizigo yake
[emoji23][emoji23][emoji23] dah, wako makini mno na kazi yao aiseee. Nawakubali. Inawezekana kbs ni vibaka hawa. Na kweli mtu na akili timamu itaishi vipi mitaa ile[emoji23][emoji23]Kuanzia wami kwenda mbele
Vijiji vingi wanaishi wezi tu hapo
Kuna wezi wanaiba magari ya mafuta,magari ya mizigo,mataili nk
Hiyo njia haifai kabisa.
Ova
Wachaga mounguze pombe na uleviNi sanduku lililokuwa limebeba mwili wa marehemu, Atanas Mrema, likiwa limepasuka baada ya kutokea kwa ajali iliyosababishwa vifo vya watu 17, Korogwe mkoani Tanga.View attachment 2506269