RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Watajijua wenyeweMaana nlichosoma wanadai fuso ndio ilitanua, ila trust me separator muhimu sana sababu hamna mtu atakuingilia site. Watakimbizana wenyewe tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajijua wenyeweMaana nlichosoma wanadai fuso ndio ilitanua, ila trust me separator muhimu sana sababu hamna mtu atakuingilia site. Watakimbizana wenyewe tu.
Yaan leo rombo ni kilio. Natamani kuupload videos. Kuna waliofanyiwa ibada huruma hospital again saa tano wengine wakafanyiwa ibada parolia ya mrakatifu katarina wa sienna mkuu rombo. Kuna wengi watazikwa kesho. Ni huzuni sana. Wa mashati ndo watazikwa kesho. Leo ni hapo mkuu[emoji24][emoji24]Marehemu kaondoka na watoto wake dah ni hatari sana
Poleni sana jmnYaan leo rombo ni kilio. Natamani kuupload videos. Kuna waliofanyiwa ibada huruma hospital again saa tano wengine wakafanyiwa ibada parolia ya mrakatifu katarina wa sienna mkuu rombo. Kuna wengi watazikwa kesho. Ni huzuni sana. Wa mashati ndo watazikwa kesho. Leo ni hapo mkuu[emoji24][emoji24]
Ahsante MkuuPoleni sana jmn
Kifo ni siri kubwaDuh wameumaliza mwendo wakati wakimsafirisha aliyeumaliza mwendo
Kazi yake mola hiyo
Hizi huwa si ajali za kawaidaUnataka kusemaje hapo ndugu Mshana?
Jana wakati wanashusha majeneza, jeneza la yule mzee aliyefariki awali lilibaki la mwisho kushushwa, na hiyo ni baada ya damu kuchuruzika kiasi kwamba mlangoni mwa gari palitapakaa damu, ikabidi viongozi wa kiroho waitwe!
Kaka Mshana Jr naanza sasa kuamini haya maneno yako. My cousin anaishi Korogwe, wamehudhuria kuaga hapo. Anasema kwamba hii familia walishapata ajali wakiwa wanasafirisha msiba hivyohivyo, wakafariki watu 4 wa familia moja.
Halafu mrema inasemekana aliachana na mkewe miaka 20 iliyopita. Alichukua demu mwingine ndo akaja kuanza nae maisha dasilamu. Inasemekana alisema asizikwe rombo hata akifa azikiwe dasilam watoto wa marehemu wakasema hapana twendeni nyumbani. Sijui kama ni kweliJana wakati wanashusha majeneza, jeneza la yule mzee aliyefariki awali lilibaki la mwisho kushushwa, na hiyo ni baada ya damu kuchuruzika kiasi kwamba mlangoni mwa gari palitapakaa damu, ikabidi viongozi wa kiroho waitwe!
Hii kitaalam mkuu imekaaje..?!
Hata siyo mambo ya mila hawa ndugu zetu wa nyumbani wanakuaga wa hovyo sana na limbukeni wa mapenzi hasa wakishakujaga dar. Wanakua wahuni mno. Yawezekana mke ana mapungufu yake ila wanaume wa kichagga wa hovyo sana baba zangu.Kaka Mshana Jr naanza sasa kuamini haya maneno yako. My cousin anaishi Korogwe, wamehudhuria kuaga hapo. Anasema kwamba hii familia walishapata ajali wakiwa wanasafirisha msiba hivyohivyo, wakafariki watu 4 wa familia moja.
Pia wakasema Marehemu, waliemsafirisha alitaka azikwe Dar. Wengine wakasema huenda wanapuuzia kufanya mila. Hayo yanasemwa ila kifo ni fumbo kubwa sana.
Dah noma kweliHalafu mrema inasemekana aliachana na mkewe miaka 20 iliyopita. Alichukua demu mwingine ndo akaja kuanza nae maisha dasilamu. Inasemekana alisema asizikwe rombo hata akifa azikiwe dasilam watoto wa marehemu wakasema hapana twendeni nyumbani. Sijui kama ni kweli
.sitaki hata kujipa stress mimi
Mapenzi hayana fundi kmmmk walai.Hata siyo mambo ya mila hawa ndugu zetu wa nyumbani wanakuaga wa hovyo sana na limbukeni wa mapenzi hasa wakishakujaga dar. Wanakua wahuni mno. Yawezekana mke ana mapungufu yake ila wanaume wa kichagga wa hovyo sana baba zangu.
Geto la haki
Inasemekana hivyo, na Hilo laweza kuwa la kweli!Halafu mrema inasemekana aliachana na mkewe miaka 20 iliyopita. Alichukua demu mwingine ndo akaja kuanza nae maisha dasilamu. Inasemekana alisema asizikwe rombo hata akifa azikiwe dasilam watoto wa marehemu wakasema hapana twendeni nyumbani. Sijui kama ni kweli
.sitaki hata kujipa stress mimi
Weeee, uchaggani kuna siri za watoto we acha tu[emoji23][emoji23] mbona kawaida sana kupeana watoto hukoInasemekana hivyo, na Hilo laweza kuwa la kweli!
Huh msiba una mazito mengi!
Kumbe hata yule kijana waliyesema mwanzoni ni mwanae ambaye walifariki wote, si moto wake huyo mzee! Wamezikwa maeneo tofauti daah...
Maisha yetu yamejaa Siri nyingi, siku zikiamua kufumuka aiseeh....!