Tanga, Korogwe: Ajali yaua 17 na kujeruhi 12

hawa jamaa wana ndugu yao anaitwa emmma hapa gerrezani k/koo anaendela kujenga gorofa bila kujali msiba na bar yake haijwafugwa jmn hii hatari
 
hawa jamaa wana ndugu yao anaitwa emmma hapa gerrezani k/koo anaendela kujenga gorofa bila kujali msiba na bar yake haijwafugwa jmn hii hatari
Kumbe mnayajua haya mpo kimya,hapo bar itajaa wateja kama wote
 
Sasa alisema asizikwe dar wala rombo ,alitaka wamzikie wapi??

Ova
 
hawa jamaa wana ndugu yao anaitwa emmma hapa gerrezani k/koo anaendela kujenga gorofa bila kujali msiba na bar yake haijwafugwa jmn hii hatari
Sisi wenyewe yuko mpishi katika ofisi yetu hajashtuka hata. Na yuko vere. Na hata sijajisumbua kumwuliza aisee. Ila hapo kelamfua kuna migogoro sana kwa kina mrema
 
Mkuu wa mkoa alikuwa wapi mda wote, ilitakiwa awe wa kwanza eneo la tukio
 
Kijiji cha Ubaha. Unashuka posta ya zamani unaelekea shule ya ubaha unafika sehemu panaitwa maviloni. Hapo unaweza uliza ukaelekezwa. .

au unashuka kiboro unapanda mpaka ukute njia panda then hapo unauliza. .
Ukweni kwangu kabisa....poleni sana
 
Ajali ile ni masuala ya kimila zaidi katoto kalikopona ni mtot wa shemeji yangu, ila ye alikuwapo gari ya nyuma ndo pona yake mtoto alikutwa chini ya siti ajakwaruzika hata kidogo,. Marehemu alitowa wosia. Asizikwe Rombo ila wakakaid ndio matokeo yake ila ni kwamba aliepewa ayo maagizo hakusema ndo shida ilipoanzia,
Mila za uchagani bana huwaga hazikwepeshi, pamoja na kutolewa gari jingine marehemu amalizie safari gari ligawagomea pia tair zikachomoka,

Walichokifanya walipakia lile jeneza miguu ikaelekea moshi kichwa dar wakaitamkia maneno kwamba tunakurudisha kukuzika dar ukapumzike ndo safari ikawa simple na wakamzika uko rombo,

Katk hizi ajali kuna mengi uzembe wa dereva ni asilimia chache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…