Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Acha kuharisha mbele ya watu we kenge!Enzi za jiwe ilikuwa kila mahala watu wanatoweka ama kutekwa na kikosi haramu alichoanzisha jiwe cha "watu wasiojulikana"
Tangu huyo mbwa atwaliwe kizembe kwa korona hata sisimizi hajatoweka wala kutekwa mitaani.
Kwahiyo, kama kwenye miji na mitaa ya nchi hii watu wote tupo Haiwezekani hizo maiti ziwe za nchi hii.
Unajaribu kumtetea nani?