Tanga Pazuri Sana Sema Sijui kwa Nini Pako Vile

tulienda kuzika mkurug mmoja tukapitiliza nyumbn kwake ss tunatafuta nyumba ya tofali nyooooo....kuangalia nyuma jamaa wamesimama mbali kwenye zile nyumba za udongo tukageuza.....
 
sema zamani mashindano ya Taifa ya basketball yaliyokuwa yanafanyika indoor stadium pale Chang'ombe timu ya Tanga ilikuwa inaleta ushindani mkubwa. Watoto wa Mkwakwani walikuwa wana dribble kishenzi. Kuna wale na timu moja inatoka Mara, walikuwa wanajiita Miembeni tournament ilikuwa inachangamka. Kipindi hiyo ile Pazi ilikuwa Pazi kwelikweli. Wakina Dibo, Shempemba... Hata wakina Jenga Mapunda na Patrick Nyembera hawajulikani. Dar tulikuwa na Polisi, Bandari, Cargo, Changombe, Pazi na Vijana. To be honest, watoto wa kitanga walikuwa vizuri kwenye sports. Refer, wakina Mohamed Mwameja wametokea Tanga Mjini.
 

Pole sana mkuu, na wanyaturu mlivo wapole wazee wa wacha weraa
 
Hiyo ni laana ya mwarabu. Tembea sehemu zote alipoweka mahali mwarabu, hakuna maendeleo yoyote.
Pwani, Mtwara, Lindi, Shinyanga mjini, Zanzibar, Morogoro na Singida.
 
Noma sana mpaka kina Mbwana Ally Samata.
 
Unasema kweli kabisa,ni pazuri sana nilikua barabara hizo ya 9 na 10 na nikatembelea michungwani.
Zile bar Ninda na pentagon sijui km bado zipo
Ndiyo mkuu bar zipo
 
Tanga ndio nchi pekee mwanamume unaweza kukaa mwaka usiguse kiwembe, yaani kucha utakatwa, nywele za chini zitanyolewa, utaoshwa miguu, na kuogeshwa utaogeshwa cha muhimu gauge isome vizuri tu.

Yanayotokea Tanga sijawahi kuona duniani kokote, ile ni nchi bwana.

Kuna hili la kidume "kusingwa" hahahaha acha niishie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…