Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaribu uwacheke wakuone mkuu hataree......handen kuna sehemu watu wakienda kwao lazma wafikie kwa wazee wawape dawa kuwajuza tumefika else...hurudi....Pale Chumbageni unakuta wanaume wako vijiweni asubuhi hawapigi kazi. Nilichoka
Hatari sana aiseejaribu uwacheke wakuone mkuu hataree......handen kuna sehemu watu wakienda kwao lazma wafikie kwa wazee wawape dawa kuwajuza tumefika else...hurudi....
Tanga ushirikina sana yaani mtu akiumwa kidgo tu mawazo yashahamia kwenye kurogwa, hiyo ya uvivu ni kweli kabisa shemeji yenu akiendaga kwao basi familia yote mpaka mume wa dada yake wanakusanyika kula hapo hapo, sembe inapikwa kilo 3 mpaka 4 kwa mara moja, wali ndio kabisa unaweza sema Kuna sherehe na mtoaji wa pesa ni Mimi basi Huwa nakereka sana, mm ni mnyaturu
Hiyo ni laana ya mwarabu. Tembea sehemu zote alipoweka mahali mwarabu, hakuna maendeleo yoyote.Salaam wote:
Tanga ni moja ya mikoa mizuri sana kuliko hata Arusha na Kilimanjaro iliyopo jirani na Tanga yenyewe. Nazungumzia hali ya hewa na mazingira masafi, Tanga wapenda usafi, nikisema Pazuri naamanisha Mazingira.
Watu wa kutokea Tanga ni wakarimu na wastaarabu kwani wengi wao ni waislamu na wanastaha sana.
Uzuri wa watu wa Tanga wanaishi vizuri sana amani tele vitendo vya mauaji ni nadra sana hii ni kwa jamii ya walio pale mjini, vile vile hata wa vijijini wapo vizuri kuliko hata mjini, hivyo huishi vizuri.
Watu wa Tanga ni wastaarabu na wameridhika, licha ya yote wengi wanaotoka Tanga kwenda dar es salaam wakirudi makwao Tanga hubadilika hivyo kuchukiza wenzao walio salia Tanga huja na tabia za ajabu ajabu kama wizi, ushoga, na ulevi wa pombe na madawa ya kulevya.
Tanga vyombo vya usafiri huendeshwa kistaarabu tofauti na mikoa mingine, ajali huwa ni nadra pia, madereva wa tanga wako makini.
Watu wa Tanga wanaotii dini sio watu wakupenda dhuluma kabisa.
Tanga pia kuna wakiristo wastaarabu sana na wapole sana, nilifurahi kusali kanisa la chumba geni pale Tanga, na kule sahare pia parokia ya Mashahidi wa Uganda kama sikukosea.
Mapishi ya Tanga hayaja wahi kuboa abadani, msosi wali nazi, wali nazi kweli, msosi samaki nazi samaki nazi kweli....
Kwenye swala la kuoa Tanga wacha kabisa watoto wamejaaliwa mashallah! yaani wafungishwa ndoa ya mkeka unapewa mwana kwa masharti ya kuishi naye kimaadili ya dini.
Mpaka sasa Tanzania nzima hakuna sehemu penye wanawake walio wazidi wanawake wa Tanga. Hii research nina uhakika nayo 100%% wanawake wa kitanga sifa ziende kwao, maua yao tuwape 😍😍😍🤩🤩
With All That bado Tanga pako na kasumba hizi ambazo zinafanya pawe pachungu kama shubiri.
1. Maendeleo Tanga hakuna. Ushirikishwaji wa chachu za kuindeleza tanga hakuna wadau hata wa nje ya tanga.
2. Watu wa Tanga wana kauvivu fulani cha kutokuwajibika kupambana na changamoto ndogo ndogo, mfano sio watu wa kupenda kufanya vitu vikubwa kama ujenzi, au kuwa na utegemezi yaani familia kubwa yakaa pamoja na mtegemezi ni mmoja au wawili kwa watu 8 au 10 ambao ni watu wazima.
3. Tanga ni wabinafsi kiasi kwa wageni yaani hupenda kujitenga hivyo hakuna mchanganyiko wa biashara wala muingiliano wa watu.
4. Tanga kwenye biashara ni 0% hawajui kuuza wala hawana bidii na mteja ni wakarimu kwa wenyewe lakini kwa mteja si wakarimu.
Nimetoka tanga 2017 pakiwa pako na hali hiyo ninayo sema ila kwa sasa sijui.
Hivi ni kwan nini Tanga pazuri vile ila pako na dosari ile.....????
Tanga wanaanza weekend ijumaa....alafu kuamka kwa mishe mishe kitaa ni saa 5 asubuhi na kufunga maduka yao ni saa 10 jioni isipokuwa barabara ya 9 pale na 10 ndiyo kidogo kuna biashara.
Ukiwahi kuamka Tanga hukuti duka lilo wazi yaani saa mbili kamili asubuhi maduka yamefungwa 😁😁😁
Nilisahahu kuwa Tanga mjini hapo machizi ni wengi sana....lakini mapaka kama yote. Nyau nyingi.
Mbona wapo kwenye dini ya haki na wengi ni waislamu au ni wagalatia ndiyo wanaroga?Ukiona hivyo ujue USHIRIKINA ndio umetawala mahala hapo
Wavivu kinoma aiseeNdiyo za wale
Noma sana mpaka kina Mbwana Ally Samata.sema zamani mashindano ya Taifa ya basketball yaliyokuwa yanafanyika indoor stadium pale Chang'ombe timu ya Tanga ilikuwa inaleta ushindani mkubwa. Watoto wa Mkwakwani walikuwa wana dribble kishenzi. Kuna wale na timu moja inatoka Mara, walikuwa wanajiita Miembeni tournament ilikuwa inachangamka. Kipindi hiyo ile Pazi ilikuwa Pazi kwelikweli. Wakina Dibo, Shempemba... Hata wakina Jenga Mapunda na Patrick Nyembera hawajulikani. Dar tulikuwa na Polisi, Bandari, Cargo, Changombe, Pazi na Vijana. To be honest, watoto wa kitanga walikuwa vizuri kwenye sports. Refer, wakina Mohamed Mwameja wametokea Tanga Mjini.
Wanautetea uvivu wao sio? 😅Ukifanya kazi waitwa mtu wa bara
Tabora bila kusahauHiyo ni laana ya mwarabu. Tembea sehemu zote alipoweka mahali mwarabu, hakuna maendeleo yoyote.
Pwani, Mtwara, Lindi, Shinyanga mjini, Zanzibar, Morogoro na Singida.