Tanga Pazuri Sana Sema Sijui kwa Nini Pako Vile

Mji
MJi wa starehe ule na kudaka watoto wazuri sio mji wa utafutaji
 
Ogopa sana mkoa ambao mchaga aliukimbia, enzi hizo makabila mageni yalipofika Tanga kuwekeza wenyeji waliwapa ardhi zenye mazindiko ya ajabu muda wa mavuno ukifika mnaumwa kufa
 
Siasa za chuki na ubaguzi ndio zimeiua tanga ila tanga ni moja ya mikoa yenye rasisilima na fursa nyingi za biashara.
 
Sababu nu "Makobazi"!!!
 
Tanga mjini Raha Sana Kwa kweli tatizo Kwa mpambanaji hamna hela wanaishi kijamaa Sana , na wameridhika aisee , Kwa wafanyakaz Tanga ni sehemu Bora Sana, nimeishi miaka mitatu pale nguvu Mali , wadada wazuri , ngozi laini na wanajipenda
 
Ni hatari tupu, wafanyakazi Tanga wanaenjoy sana.
 
Ogopa sana mkoa ambao mchaga aliukimbia, enzi hizo makabila mageni yalipofika Tanga kuwekeza wenyeji waliwapa ardhi zenye mazindiko ya ajabu muda wa mavuno ukifika mnaumwa kufa
Hili usemalo ni kweli wachagga Tanga tumekimbia sana....mikoa mingine yote wachagga tupo ila Tanga sasa ni balaa tupu.
 
Tanga raha sana mkuu 😁😁😁
 
Si miaka hii mkuu, lakini huwez fananisha na mikoa mingine kwenye muingiliano wa biashara.
Ni kweli, nadhani kinachokosekana ni muamko na kupambana na mabadiliko ya teknolojia na biashara, hata viongozi wa Tanga wapo slow sana yaani!!
 
Ni kweli, nadhani kinachokosekana ni muamko na kupambana na mabadiliko ya teknolojia na biashara, hata viongozi wa Tanga wapo slow sana yaani!!
Ila Tanga patamu, shida ya watu wa Tanga wamekaa kimchele mchele, wanaume walaini kuliko dada zao.
 
Kuna tofauti kati ya vigodoro na baikoko, ukisikia baikoko ni balaa tupu kabisa.
 
Tanga ni pazuri sema pamepoa kiuchumi.
Huo mkoa ni kama Umetelekezwa, Awamu ya kwanza alikua haupendi, hata barabara ya Lami kwenda Kenya imewekwa juzi juzi tu, pamoja na mkoa kuchangia pato kubwa kwenye Taifa kinachorudi kuendeleza mji ni kidogo sana.

Viongozi vichaa vichaa KAMA Magu walikua hawafuati hizo Taboo angalau kidogo alikuwa na Vision na mkoa wetu.
 
Si kweli, hayo maeneo yote kabla ya Ukoloni yalikuwa yamenawiri, kwa Case ya Tanga 1956 kabla ya Uhuru Tanga ni Manispaa, ule mji unaouona upo kabla ya Uhuru, hii miji imekuja Kufa baadae.

Na waarabu wameacha Shule, Hospitali na miradi kibao, we unafikiri Shule, za Bakwata zimetoka wapi? Hapo Tanga kuna Maawa na Jumuia zote ni shule za kale, toka wapewe Bakwata shule zipo Ovyo na wamebaki tu kutoa frame.
 
Mkuu vipi mbususu za huko bei elekezi inaanzia kiasi gani?
Nataka kwenda huko mwezi ujao kisha ntaelekea Mombasa nikajifunze dhambi mpya
Huwaga kuna wabibi sana pale Chichi night Club, mara ya mwisho nilikuwa napata burudani pale Tanga Club bonge la bata point new Tanga Club.

Kama wewe mshua zama V.i.p Tanga beach resort au Nyumbani Hotel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…