Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Screenshot_20241002-193947_1.jpg
Screenshot_20241002-193957_1.jpg
 
Wewe papai nakupuuza tu
Huyu Mwashambwa, ni wazi, kwa kipimo chochote kile, ni low IQ yakeķ, lakini anataka kuficha mapungufu yake kwa kuwaambia watu wengine eti hawana akili!! Sijui alidanganywa na nani kuwa akiwaambia watu wengine hawana akili, basi nao watakuwa hawana akili kama yeye!!

Kipimo kikubwa cha haraka cha kumjua mtu mwenye akili ndogo ni kukubali kuwa chawa. Hakuna mtu mwenye akili nzuri kabisa ambaye anaweza kukubali kuwa chawa. Ukiona tu mtu ni chawa, tambua huyo mtu akili ni low IQ.
 
Safi sana Jeshi kwa weledi wa hali ya juu katika kupeleleza na kukamata.

Ila sasa mbona wauaji wa Mzee Kibao na wengine hawakamatwi??????????????
 
Back
Top Bottom