Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

Wewe papai nakupuuza tu
Huyu Mwashambwa, ni wazi, kwa kipimo chochote kile, ni low IQ yakeΔ·, lakini anataka kuficha mapungufu yake kwa kuwaambia watu wengine eti hawana akili!! Sijui alidanganywa na nani kuwa akiwaambia watu wengine hawana akili, basi nao watakuwa hawana akili kama yeye!!

Kipimo kikubwa cha haraka cha kumjua mtu mwenye akili ndogo ni kukubali kuwa chawa. Hakuna mtu mwenye akili nzuri kabisa ambaye anaweza kukubali kuwa chawa. Ukiona tu mtu ni chawa, tambua huyo mtu akili ni low IQ.
 
Safi sana Jeshi kwa weledi wa hali ya juu katika kupeleleza na kukamata.

Ila sasa mbona wauaji wa Mzee Kibao na wengine hawakamatwi??????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…