Tanga Twadeka - Mawaziri wanne! 2030 InshaAllah!

Tanga Twadeka - Mawaziri wanne! 2030 InshaAllah!

Wewe Bado una kiwango kikubwa sana Cha ujinga.Ukitoa Kigoma sijawahi sikia Mikoa Mingime ni maskini, yaani Mikoa Maskini imebakia..

Hata Kigoma is no more kwenye umaskini Kwa Sasa
Kigoma hata umaskini wake ni wa kutengenezea -

# imagine mikoa yote ilishapata barabara za lami lkn kwenyewe ndio zinajengwa

# Imepakana na nchi za DRC, Burundi na jirani ipo Rwanda lkn bado hakukuwa na mikakati ya kuzitumia fursa hizo;
 
Mkoa wa Tanga Twadeka tumitoa Mawaziri wanne
1. Ummy - Afya,
2. Awesso - Maji,
3. Mwinjuma - Michezo,
4. Makamba - Nishati.

NB: Inshallah 2030 tutamileteeni Kiongozi mkubwa zaidi.
Ni wakati wenu huu watu wa mwambao kucueza mdumange ndo maana mnagawa nchi kwa DP World!

Hawa ni kutoka mkoa wa Pwani pekee,

1.Abdala Ulega
2.Suleiman Jafo
3.Mchengerwa
4.Kikwete
 
Mkoa wa Tanga Twadeka tumitoa Mawaziri wanne
1. Ummy - Afya,
2. Awesso - Maji,
3. Mwinjuma - Michezo,
4. Makamba - Nishati.

NB: Inshallah 2030 tutamileteeni Kiongozi mkubwa zaidi.



Mwinjuma siyo full minister.

Ungejua unasababusha husuda usingalileta huu uzi hapa.
 
Tatizo kuna mikoa hata watoe Raisi inakuwa nyuma tu kimaendeleo sababu ya aina ya watu wa hiyo mikoa kama ya Tanga ,Dodoma,Pwani,Mara,Pemba,Kigoma ,Ruvuma,Iringa na Mtwara hata wapewe baraza zima la mawaziri na Raisi kwa mpigo hamna kitu utaiona iko chini tu kimarndeleo



Kweli kabisa ,


Na sababu kubwa ni uvivu , ujinga na uchawi na ushirikina.
 
Mkoa wa Tanga Twadeka tumitoa Mawaziri wanne
1. Ummy - Afya,
2. Awesso - Maji,
3. Mwinjuma - Michezo,
4. Makamba - Nishati.

NB: Inshallah 2030 tutamileteeni Kiongozi mkubwa zaidi.
Mgekuwa Wasukuma ama Wachaga kungechimbika. Ila Kwa kua Watanga hakuna shida. Nchi hii Wasukuma Wachanga ndo Kwa Sasa wanapigwa mawe
 
Mkoa wa Mara hakuna Waziri.
Mkoa wa Shinyanga hakuna Waziri.
Mkoa wa Simiyu hakuna waziri.
Mkoa wa Mwanza Waziri mmoja
Mkoa wa Geita waziri mmoja
Kagera waziri mmoja.

Lakini hata watu wa Kanda ya ziwa hatulalamiki.

Ila iwe vise versa server ya JF Itaanguka.

Leo Tanga mkoa mmoja una Mawaziri wengi kuliko mikoa 7 ya Kanda ya ziwa hapa nijumuisha na Tabora.
 
Mgekuwa Wasukuma ama Wachaga kungechimbika. Ila Kwa kua Watanga hakuna shida. Nchi hii Wasukuma Wachanga ndo Kwa Sasa wanapigwa mawe
Hakika umenena mkoa mzima wa Kilimanjaro Waziri ni mmoja tu na wakati wajimbo yote ni CCM, Arusha hakuna hata wakusingiziwa, ukweli wasukuma na wachaga awamu hii hawapendwi hata kidogo
 
Back
Top Bottom