BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa #TAMISEMI, Angellah Kairuki ameagiza Uongozi wa Mkoa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha Wanafunzi hao wanaripoti Shule mapema iwezekanavyo.
Idadi hiyo ambayo ni sawa na 55.2% ya Wanafunzi waliotakiwa kuwa Darasani mpaka sasa haijaripoti Shule Hadi kufikia Januari 13, 2023 huku Wilaya ya Kilindi ikiwa na 11% tu ta Wanafunzi walioripoti.
Tangu kuanza kwa Muhula mpya wa masomo mwaka 2023, maeneo mengi Nchini yameripoti idadi kubwa ya Wanafunzi ambao hawajafika Shule kwa sababu mbalimbali ikiwemo Wazazi kuwazuia Watoto kwenda Shule.