Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Novemba 27, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP Almachius Mchunguzi amesema wananchi hao wamekamatwa kwa kosa la kuchana nyaraka za Serikali wakati wa uchaguzi huo ukiendelea.
Soma Pia:
Wengine ni Yosefa Komba (38) na Sikujua Almasi (38) wote wakazi wa Genge Wilayani Muheza kwa kosa la kufanya fujo kwenye kituo cha kupigia kura.

- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga - Novemba 27, 2024
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Tanga: Mrakibu Msaidizi wa Polisi Michael Kaniki awataka wananchi kujiepusha na vurugu wakati wa Uchaguzi 2024 na 2025