LGE2024 Tanga: Watu wanne wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Novemba 27, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP Almachius Mchunguzi amesema wananchi hao wamekamatwa kwa kosa la kuchana nyaraka za Serikali wakati wa uchaguzi huo ukiendelea.

Soma Pia:
Kamanda Mchunguzi aliwataja waliokamatwa kwenye tukio hilo kuwa ni Mohamed Selemani Juma (40) Mkazi wa Mwanzange Jijini Tanga na Devotha Sostenes Mpari (48) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Mivumoni, Kata ya Bushiri Wilaya ya Pangani kwa kosa la kuchana nyaraka za uchaguzi.

Wengine ni Yosefa Komba (38) na Sikujua Almasi (38) wote wakazi wa Genge Wilayani Muheza kwa kosa la kufanya fujo kwenye kituo cha kupigia kura.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Tanga: Mrakibu Msaidizi wa Polisi Michael Kaniki awataka wananchi kujiepusha na vurugu wakati wa Uchaguzi 2024 na 2025
 
Ccm wanavuruga chaguzi kwa kunyima watu haki ya kumchaguq kiongozi wamtakaue na kusababisha vurugu
 
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Novemba 27, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP Almachius Mchunguzi amesema wananchi hao wamekamatwa kwa kosa la kuchana nyaraka za Serikali wakati wa uchaguzi huo ukiendelea.

Soma Pia:
Kamanda Mchunguzi aliwataja waliokamatwa kwenye tukio hilo kuwa ni Mohamed Selemani Juma (40) Mkazi wa Mwanzange Jijini Tanga na Devotha Sostenes Mpari (48) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Mivumoni, Kata ya Bushiri Wilaya ya Pangani kwa kosa la kuchana nyaraka za uchaguzi.

Wengine ni Yosefa Komba (38) na Sikujua Almasi (38) wote wakazi wa Genge Wilayani Muheza kwa kosa la kufanya fujo kwenye kituo cha kupigia kura.

ni muhimu sana wakawajibishwa kwa kuchukuliwa hatua kali sana za kisheria, ili iwe fundisho kwa wenye tabia ovu kama hizo,
alaaa!🐒
 
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Novemba 27, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP Almachius Mchunguzi amesema wananchi hao wamekamatwa kwa kosa la kuchana nyaraka za Serikali wakati wa uchaguzi huo ukiendelea.

Soma Pia:
Kamanda Mchunguzi aliwataja waliokamatwa kwenye tukio hilo kuwa ni Mohamed Selemani Juma (40) Mkazi wa Mwanzange Jijini Tanga na Devotha Sostenes Mpari (48) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Mivumoni, Kata ya Bushiri Wilaya ya Pangani kwa kosa la kuchana nyaraka za uchaguzi.

Wengine ni Yosefa Komba (38) na Sikujua Almasi (38) wote wakazi wa Genge Wilayani Muheza kwa kosa la kufanya fujo kwenye kituo cha kupigia kura.

Watu wanataka haki police wanasema ni vurugu
 
Back
Top Bottom