Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

Watu wasiojulikana
 
Wananchi mlipumzishwa kama siku tatu hivi, naona sasa mmerudishwa tena kwenye maisha mliyojizoelea
 
Tuombe mwisho mema..
 
Yaani huu mchezo huu aliyeubuni kama alijua atakuwa peke yake sasa hivi na wengine wameanza kumuiga
Mbaya zaidi hawa wana usalama hawajataka kuelekeza nguvu zao kwenye haya matukio ila tu wakisikia kuna watu wanataka kulitaka jeshi la polisi lisimamie hili wao ndio wanasimama imara kuzuia hili lisifanikiwe.

Mbaya sana na inadikitisha kuona watu wanauza utu wao kwa slogan ya kudumisha amani na mshikamano huku kundi la watu fulani wenye power ambao hata 10% hawafiki wakiendelea kupata manufaa lkn 90% wakidumaa na kati yao wakiendeshwa bila kujitambua.
 
Tanzania 🇹🇿 nchi yangu NAKUPENDA kwa moyo wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…